Nafasi ya kazi ya Upishi! Kupikia Wanafunzi na Wahudumu

Puna

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
2,345
3,801
Nafasi ya kazi ya upishi.

Jinsia:KE

Majukumu: Kupikia wanafunzi na muhudumu wa ofisi.

Mshahara: Kupikia wanafunzi unalipwa kwa kichwa na mshahara unaogezeka wanafunzi wanapoongezeka kwa Sasa ni 180000/= na Muhudumu wa ofisi ni 70000/= Jumla 250000 kwa Mwezi.

Umri:28-30

Malazi: Kuna Chumba maalumu hostel kwa wasichana umeme upo,chakula mchana na jioni bure,asubuhi chai ofcn bure we ni vitafunwa utajitegemea.

Nb.Uwe tayari kujitolea na uvumilivu maana utaishi na mabinti,pia Kama una familia itakuwa ngumu kupata labda Kama una mtoto ambae hajafikisha Miaka sita.

Mahali: Ni Kisarawe Km 70 kutoka Kisarawe mjini.
 
Yaani huyo mtu mmoja afanye kazi mbili??? Kwa mshahara huo?.... Unamtaka mwenye vigezo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ofisini Ni kufagia na kuosha vyombo,huo mshaara 180000 ni mdogo ndo maana anaunganishwa na ofisi walau nae afanye yake.Ila Kama ataridhika na upishi tu kazi kwake.Lakini ofcn hamna kazi kabisaa.
 
Ofisini Ni kufagia na kuosha vyombo,huo mshaara 180000 ni mdogo ndo maana anaunganishwa na ofisi walau nae afanye yake.Ila Kama ataridhika na upishi tu kazi kwake.Lakini ofcn hamna kazi kabisaa.
Jibu swali la pili naomba mawasiliano kuna ndugu yangu naona upishi anauweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom