Nafasi ya kazi ya ulinzi: mshahara laki 1. Pesa ya kula elfu 30. Mbezi Dar

Natakiwa kuwa na muonekano upi au sifa gani? Nikiwa kama mzee kijana aka slowslow naweza pata nafasi pia?
 
Risk ya hii kazi.....
Pakiibiwa inaonekana mlinzi kala njama na wezi...

Na majambazi wakiingia wanatafuta kwanza mlinzi ako wapi tuanze nae...
 
Risk ya hii kazi.....
Pakiibiwa inaonekana mlinzi kala njama na wezi...

Na majambazi wakiingia wanatafuta kwanza mlinzi ako wapi tuanze nae...
Hahahaha daah, ntafanya kazi zote ila sio hii coz hapo kwenye majambazi lazima waanze na wewe kwanza pale getini na pia uhalifu ukitokea na mlinzi ukapona basi polisi wanaanza na ww kwanza ukaa ndani kidogo
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom