Nafasi ya kazi ya ufundi umeme na bomba mwenye vyeti soma hapa.

John mungo

JF-Expert Member
Dec 8, 2013
1,008
1,023
Kuna nafasi ipo hapa mkoani moro ni ktk hotel ya kitalii .sasa kama una uwezo wa fani hizo mbili au hata uwe na fani yabomba tuu.tuwasiliane kwa 0659969663
Ni haraka sana anahitajika mtu.
 
Kuna nafasi ipo hapa mkoani moro ni ktk hotel ya kitalii .sasa kama una uwezo wa fani hizo mbili au hata uwe na fani yabomba tuu.tuwasiliane kwa 0659969663
Ni haraka sana anahitajika mtu.

vipi mkuu ushapata mtu?
 
Back
Top Bottom