usalama kwanza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2012
- 386
- 158
Wanahitajika vijana wawili kwa ajili ya kazi ya mauzo ya vifaa vya usalama kwenye magari tracking and alarm systems .
Sifa: Awe mchapakazi na mwenye kujituma , awe ana lugha nzuri kwa wateja.
Malipo: Malipo ni kwa kamisheni ambayo ni asilimia kumi ya mauzo , Tunatoa Transport na commucation allowance.
Huduma nyingine tutoazo; Electric fence installation, CCTV cameras, Video intercomms, Intruder alarm systems, Access control systems, Automatic gates.
Mahali : Tunapatikana Dar es salaam tegeta , kazi tunafanya tanzania nzima.
Mawasiliano: 0714890018 tuma meseji ya maneno ukihelezea mahitaji ya kazi , nitakupigia baada ya kupata meseji yako.