Nafasi ya kazi ya kutafuta wanafunzi wa kusoma katika chuo chetu (sales and marketing)

castrosnga

Member
Oct 10, 2017
10
0
Chuo cha Arusha institute of travel and tourism
Chuo kipo arusha mkabala na Hifadhi ya taifa ya Arusha

chuo kinachotoa kozi ya Hotel management, tour guide and administration, early childhood education, computer aplicatn, air ticketing, customer care , pc & qt, chuo kina mazingira bora ya kujifunzia na kinatoa huduma ya malazi bure, kinawatafutia wanafunzi sehemu za kufanyia field na hatmaye kazi kabisa ikiwa mwanafunzi atakidhi vigezo vya taasisi.

Hivyo basi kinawatangazia watu wote kwa kila mkoa nafasi ya kazi ya kutafuta wanafunzi na kuwapatia form zetu zitakazotumwa kwenye email yako na kila mwanafunzi atakayeletwa na wewe tutakulipa moja kwa moja, faida ya kufanya nasi baadae yaweza kuwa ajira yako moja kwa moja.

Vigezo ni mtu yeyote mwenye nguvu ya ushawishi na kuweza kufikisha lengo tulilo nalo la intake ya mwezi november.

piga simu ama tuma SMS namba zifuatazo 0745442205
tuma cv yako hapa arushainstituteoftravelandtour@gmail.com

KUMBUKA KAZI HII NI YA MUDA MFUPI KWANZA PINDI UPATAPO TANGAZO HILI WAWEZA KUTUTAFUTA ILI UANZE KUFANYA KAZI NASI
 
Mmeandaa bajeti kwa ajili ya shughuli hizo?
 
Back
Top Bottom