Nafasi ya kazi ya civil engineer group six company ltd

Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
2,403
3,051
Habari za mahangaiko wananzengo wenzangu!

Leo nilikua na meeting pale China embassy to Tanzania, wakati tunaongea na wenyeji wetu akaja Deputy Director wa Civil Engineer wa group six!!

Akaniambia nimutafutie Civil engineer, wana project ya road construction pale Morogoro town yenye urefu wa km 10, yenye dhamani ya 12b...

Sifa
1.Civil engineer
2.Awe na uzoefu wa roads project
3.Awe amesimamia walau miradi 4
4.Amesajiriwa na bodi ya ERB
Mengineyo mtayamaliza wenyewe huko,series person nicheki DM nikupe no za jamaa!!
 
Back
Top Bottom