Du kama wale wanaokusanya kodi pale Mwenge na Ubungo wakati daladala inatoka kituoni nao wanatakiwa wawe na madiploma na madegree, du haya sasa ajira ishakuwa taabu ama mkuu nieleweshe kama ni project mpya tofauti na hayo mawazo yangu
Sijaelewa swali lako una maana gani, kwani nani kasema tunahitaji mkusanya kodi huko ubungo au mwenge ? ? sisi tunahitaji Supervisor(msimamizi wa shughuli zetu za kiuchumi za kampuni), ni wazi kuwa mtu yeyote akifunzwa anaweza tunachoepuka ni gharama ziada za kumfundisha mtu asiye na elimu ya kutosha hadi kufikia kiwango kinachohitajika (Capacity,Commitment,Confidence) , vinginevyo hapata kuwa na tija, Pia elimu sio lazima ya darasani tu au madiploma, madegree kama ulivyotaja, kikwazo ni namna ya kuupima huo uwezo ? ? ? na sio project mpya.