Yaani kazi ya mochwari nikajitolee
Kujitolea haina malipoKazi ni kazi mradi mkono uende kinywani! Isitoshe unapata baraka za Mungu.
Unazijua changamoto zake hiyo kazi,Kazi ni kazi mradi mkono uende kinywani! Isitoshe unapata baraka za Mungu.
Kazi ya mochwari nayo inahitaji vigezo?Asee hii kazi Ni ngumu Sana ila acha nikajaribu Kama nitaweza..lete vigezo