Nafasi ya KAZI mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya KAZI mwanza

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by CONSULT, May 10, 2011.

 1. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Holder of Diploma in business admin,accounting,finance or any related field. mshahara ni maelewano lkn sio mkubwa na other benefits depend in KSE(knowledge,skill,experience) aina ya kazi ni usimamizi wa biashara ya maduka wasiliana kwa email : ushauri_ubunifu@operamail.com

  mwisho wa tangazo hili june 30,2011
   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  "mshahara ni maelewano lkn sio mkubwa less than 180,000= take away"!!!!!!!!!!! Haiingii akilini kwasababu wafanyakazi wanadai kima cha chini 315,000/- kwa mwezi, sasa 180,000/- ni kama wizi kwa mfanyakazi mwenye Diploma. Acha unyonyaji!
   
 3. G

  Gerrie Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gerrie
  nimemaliza adv.diploma business administration 1996 mzumbe kwa sasa niko moshi mwasibu nilitaka sana kuhama moshi lakini mbona mshahara wako mdogo mno ongeza ninauzoefu wakutosha nimesimamia makapuni makubwa email yangu ni gerrieleone@ymail.com
   
 4. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  samahani kwa kuingilia mada , una sifa nyingine ujazitaja nini? mkuu umemaliza Business admin alaf mhasibu?????????????au unafanya kazi ya cashier au unafanya kama mhasibu??? Wahasibu ni wale waliosoma uhasibu Jamaaaaaaaannnnnnnnnnnnnnnnniii!!!!!! Uhasibu umevamiwa!!!!!! Baaada ya yote natania tu mkuu. Ila anway kwa ukweli kozi iyo si ya kihasibuuuuu.
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  BBA accounting/finance,marketing/hr
   
Loading...