Nafasi ya Kazi Muhandisi wa Umeme! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya Kazi Muhandisi wa Umeme!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Yeccotltd, Jan 27, 2012.

 1. Yeccotltd

  Yeccotltd JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kampuni yako ya kizalendo ishughulikayo na mambo ya Umeme na IT ya YECCO (T) LTD inatangaza nafasi ya kazi ya uhandisi wa Umeme:

  Sifa:
  A) Awe amehitimu elimu ya umeme wa viwanda na majumbani kuanzia ktk ngazi ya Advance Diploma na kuendelea,

  B) Awe amehitimu ktk chuo kinachotambuliwa kitaifa na kimataifa,

  C) Awe na leseni ya EWURA na asiwe aliwahi kuwa Technical Director ktk kampuni yoyote CRB

  D) Awe na elimu ya ya utangulizi ya kompyuta.

  Maombi ya tumwe kwa anwani ya kimtandando yeccotltd@yahoo.com , au kufika ofisi zetu zilizopo mtaa wa Samora,Posta, Dar es salaam, Tanzania, Coronation House,Ghorofa ya pili, jirani na Baraza Kiswahili.

  Bila kusahau kopi ya cheti cha kuzaliwa na Picha mbili za pasipoti ktk maombi hayo!

  Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25/2/2012
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  vp anayeanda kuwa tech director katika kampuni? Kama ndio, je atapata hisa?
   
 3. Yeccotltd

  Yeccotltd JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo kwa sasa halipo, ila linajadilika na kuamuliwa nje ya muktada huu!
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Haya wenye sifa hizo nendeni!
   
 5. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah mahitaji mengi kweli, mie ninaufundi wa veta tu gredi 3, yani mpaka hapo sina changu!
   
 6. j

  joa Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du wenye sifa nafasi hiyo....................!
   
Loading...