Hapana anastaafu Prof. Bisanda!Mama Migiro kastaafu?
Wana jamvi, yoyote mwenye vigezo vya hii kazi na anayeitaka basi asisite kutuma maombi. Nafasi iliyotangazwa ni ya Vice Chancellor.
chadema kwenye vitu vya kisomi kama hii mada huwezi waona
Sihajuelewa ana masters za kumwaga PhD anayo? Pia unasema apewe SI aombe SI imetangazwa aombeHiyo nafasi wangempa Profesa Wineaster Anderson wa UDSM... Ni mwanamama msomi mwenye masterz za kumwaga! Ni moja wa maprofesa wachache sana katika masuala ya kibiashara... Sana sana ni yeye na Prof Assad ndio maprof wanaotoka UDBS... Sijui kama kuna mwingine siku hizi... Wengi (wachache by University standard) waliobaki ni ma doctor!
View attachment 1155698
View attachment 1155709
Security Verification | LinkedIn
www.linkedin.com
Wineaster Anderson | University of Dar es Salaam - Academia.edu
Academia.edu is a place to share and follow research.udsm.academia.edu
Yeah... Ana masterz ziaid ya moja. The minimum ni kuwa na masterz moja ili uweze kusomea PhD!Sihajuelewa ana masters za kumwaga PhD anayo? Pia unasema apewe SI aombe SI imetangazwa aombe
Naona u full professor kaupata mwezi January mwaka huu 2019 .Anyway good luck to her Kama hawataomba ma full professors wenye experience ya muda mrefu kuliko wakeHiyo nafasi wangempa Profesa Wineaster Anderson wa UDSM... Ni mwanamama msomi mwenye masterz za kumwaga! Ni moja wa maprofesa wachache sana katika masuala ya kibiashara... Sana sana ni yeye na Prof Assad ndio maprof wanaotoka UDBS... Sijui kama kuna mwingine siku hizi... Wengi (wachache by University standard) waliobaki ni ma doctor!
View attachment 1155698
View attachment 1155709
Security Verification | LinkedIn
www.linkedin.com
Wineaster Anderson | University of Dar es Salaam - Academia.edu
Academia.edu is a place to share and follow research.udsm.academia.edu
Alikuwa Associate Professor kwa miaka kama nane hivi!Naona u full professor kaupata mwezi January mwaka huu 2019 .Anyway good luck to her Kama hawataomba ma full professors wenye experience ya muda mrefu kuliko wake