Nafasi ya kazi kwa vijana waliyotayari

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
929
1,284
Wakuu heshima kwenu!

Kwa vijana waliyotayari kufanya kazi ya kutembeza mayai ya kuchemsha hapa mjini.

Natafuta vijana wapatao 10. Mshahara ni 150,000, kwa mwezi , kura ni juu yake, kulala ni juu yangu.

Aliyetayari ani Pm namba zake au nitampa namba zangu. Kituo cha kazi ni mikocheni.

NB. Kama sio wewe basi mwambie rafiki yako.
 
Wakuu heshima kwenu! Kwa vijana waliyotayari kufanya kazi ya kutembeza mayai ya kuchemsha hapa mjini. Natafuta vijana wapatao 10. Mshahara ni 150000, kwa mwezi , kura ni juu yake, kulala ni juu yangu. Aliyetayali ani Pm namba zake au nitampa namba zangu. Kituo cha kazi ni mikocheni.
NB. Kama sio wewe basi mwambie rafiki yako

Kazi kwenu Graduates! Job hiyo!
 
hahahaa mi nachemsha mayai ya kuku Wangu. mshahara hata vocha kwenye smart phone yangu hautoshi kwa mwezi
 
Wakuu tusikatishane tamaa. Wapo wataohitaji. Kaa na degree na tuone kama utakula degree yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom