nafasi ya kazi kwa mtaalamu wa kutengeneza keki/confectionery | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nafasi ya kazi kwa mtaalamu wa kutengeneza keki/confectionery

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kisaro, Jan 18, 2012.

 1. K

  Kisaro Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  natafuta mtaalamu wa kutengeneza keki, donut, maandazi. mwajiri ni bekari binafsi ya saizi ya kazi ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikitengenea mikate peke yake na sasa inahitaji kujikita pia kwenye uokaji wa keki, donut, croissants na kadhalika.
  kama unafaa ama una ndugu au jamaa mwenye utaalamu huo tafadhali piga simu namba 0784302194 au 0787154980
   
Loading...