NAFASI YA KAZI KWA KIJANA MMOJA MKOANI MOROGORO

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,503
2,000
Wewe pigs garama zako kisha faida mgawane nusu kwa nusu,acha roho mbaya
 
kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,503
2,000
Kwa hiyo umesahau kuwa huyo uliyemuajiri nae ana mahitaji kama wewe na familia,pia analipia chumba na ni baba wa familia
 
D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
2,879
2,000
Wewe pigs garama zako kisha faida mgawane nusu kwa nusu,acha roho mbaya
Ananunua mia sita huko iringa kwa rejareja kama ni asas yoghurt mkuu akiuza elfu moja faida ni mia nne kwa kila kopo akimpa mia mbili ni sawa tu
 
NAREI

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
1,703
2,000
Ananunua mia sita huko iringa kwa rejareja kama ni asas yoghurt mkuu akiuza elfu moja faida ni mia nne kwa kila kopo akimpa mia mbili ni sawa tu
Asante mkuu..kungekua na great thinkers wengi humu jf naamini tungekua mbali hata kwa kile kidogo tunachokifanya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom