Nafasi ya kazi kwa anayejua lugha hii

Airmanula

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
3,761
5,245
Kuna nafasi ya kazi haraka kwa anayejua au niseme anayezungumza lugha ya kifaransa kwa usahihi.

Interested karibu PM nikupe maelekezo.
 
Kuna nafasi ya kazi haraka kwa anayejua au niseme anayezungumza lugha ya kifaransa kwa usahihi.

Interested karibu PM nikupe maelekezo.
Kazi ya aina gani? Kuna rafiki yngu anakipiga vyema but yuko college bado so km haihitaji full presence eneo la kazi nikuunganishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom