Nafasi ya Kazi: Kutafsiri Kiingereza kwenda Kiswahili

myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,612
6,153
Guys, kuna kazi ipo kwenye Excel Sheet, at least 300 Rows. Moja ya columns ina English Description ambayo inatakiwa kuwa translated to Swahili. Sio word to word translation bali unatakiwa kuielewa content husika na kuaindika kwa lugha nyepesi inayoeleweka na wengi.

By lugha inayoeleweka na wengi nina maana ya kwamba Kiswahili chepesi hata kama sio standard! Kwa mfano, nasikia Kiswahili sanifu cha Computer ni tarakinishi! Kwenye kazi hii hatuhitaji maneno kama tarakinishi yasiyofahamika na wengi, bali tunahitaji maneno kama kompyuta, yaani commonly used language by Swahili speakers.

Ningependa kusisitiza kwamba this's not "word-to-word" translation bali "content" translation. Kwa mfano, English Description ambayo ni "Free, easy to use antivirus and anti-malware software program from Avast" ningeweza kuitafsiri kama "Programuya bure na rahisi kuitumia inayoweza kuilinda kompyuta yako dhidi ya virusi na programu zingine hatari kwa kifaa chako"

ANGALIZO:
  1. Hii kazi inamtaka mtu ambae yupo 100% FREE kwa sababu naitaka haraka sana.
  2. Malipo ni Sh.100 per row. Remember, ONLY one sentence (about 20 words sentence) per row. Hiyo BLUE SENTENCE above ndiyo aina ya One Sentence ninayoizungumzia.
  3. To be considered, translate AT LEAST 5 rows as a sample test. To get a test sample, use my PM to send your email address, and I'll email you back.
  4. I don't promise, lakini kama kazi hii utaifanya vizuri, maybe siku zijazo nikakusukumia michongo mingine ya aina hii. Na hata hapa ninapoandika, wapo ambao wameshafanya na mimi mara 3
  5. DON'T EVER USE GOOGLE TRANSLATION!! Don't try to cheat coz' I'll know it right away.
  6. REMEMBER, I WANT THE COMPLETED WORK TO BE SUBMITTED BACK TO ME YESTERDAY! IF YOU'RE NOT THERE FOR A FAST TURNROUND, PLEASE DON'T APPLY.
PAYMENT MODE:

Sikujui, hunijui na kwahiyo TRUST NDIYO KITU MUHIMU ZAIDI KATI YETU! Ninachofahamu ni kwamba, siwezi kuvunja uaminifu wangu kwa 100K. NO WAY!! Kwahiyo ukiniamini, STAY ASSURED KWAMBA UTALIPWA TU KWA SABABU WEWE HAUTAKUWA WA KWANZA KUFANYA KAZI NA MIMI BUT NO ONE EVER COMPLAINED.

SAMPLE: Kwenye sample test file, Row 3 - Row 11 ni mfano wa nini unatakiwa kufanya. Column B kuna English Description na Column C kuna Swahili Translation. Wewe utatakiwa kuweka Swahili Translation kwenye hii column C.

WHEN TO APPLY? Apply NOW, and be sure to start immediately! Don't apply kama unategemea kompyuta ya kuazima. Kama mwanzoni ulifanya sample test, forward it to my email: myplusbee2018@yahoo.com for immediate consideration.
 
Rows 70 ni shilingi 7,000. Ndaga fijo
7000 + 5000 ya Intanet = 12,000 ambazo ukiwa na kasi, unaweza kufanya within 2 hours! Is it the same na kukaa hivi hivi tu?! Probably kwako inaweza kuwa the same lakini hizo posts zilikuwa filled ndani ya muda mfupi kuonesha wengine kwao mtembea bura si sawa na mkaa bure!
 
Nikimaliza Sabato leo ntakutumia sample ya translated paragraph via your email address in case utakuwa hujapata mtu. Nilifanya hizo mambo wakati nafanya master's degree. kama ntakuchelewesha bas.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom