Nafasi ya kazi/Kujitolea ndani au nje ya nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya kazi/Kujitolea ndani au nje ya nchi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Visionmark, Mar 24, 2012.

 1. V

  Visionmark Senior Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu heshima kwenu, samahani naomba mtu ambaye anaweza kuwa na taarifa ya mahali/taasisi ambapo naweza pata kazi au nafasi ya kujitolea khsiana na uhifadhi wa wanyama pori/mazingira ndani au hata nje ya nchi anijulishe hapa jamvini. Ahsanteni sana!
   
Loading...