Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,260
Hii inafuatia mfanyakazi wetu kustaafu kwa hiyari hivyo inabidi tujaze nafasi
Nafasi: Gavana
Elimu: Kujua KUSOMA NA KUANDIKA tu. Management haitajihusisha na kutaka kujua una vyeti gani, umevipata vipi, au kama uliazima cha mjomba wako, rafiki yako, au mdogo wako kwani huko itakuwa ni kuingilia maisha yako binafsi na itakuwa ni umbeya kufanya hivyo. Mradi unajua kusoma na kuandika, Inatosha!
Aina ya kazi: Ni ya kisihasa. Haihusiani kabisa na utumikishwaji kwa ummaa
Tarehe ya kuanza kazi: Baada ya kuteuliwa, kutangazwa na kuapishwa hadi utakapo staafu kwa mujibu wa sheria au kwa hiyari au utakapohamishwa au uteuzi utakapotenguliwa.
Kituo cha kazi: Kilima kya Ruwa
Imetolewa na mtendaji mkuu
Sijaribiwi Call me J