Nafasi ya kazi Iringa mjini-haraka!

jimjamtz

Senior Member
Mar 13, 2008
153
28
Tunashughulika na kazi za CARE AND TREATMENT(CTC) Iringa Mjini.Tunahitaji Mtaalamu wa Madawa ie Pharmaceutical Technitian mwenye uzoefu wa kazi ya utoaji dawa si chini ya miaka miwili.Nafasi hii inatakiwa ijazwe Haraka kabla ya Dec 2012.Mshahara ni Mzuri . Email: jacquiline2009@yahoo.com
 
vipi jimjamtz, hamuhitaji nutritionist? nipo hapa
 
vipi jimjamtz, hamuhitaji nutritionist? nipo hapa
Nutritionist will be needed in future.Unaweza kutuma CV,in case ikitokea naitanguliza coz najua waliopo humu ni wahitaji na vijana wachacharikaji.
 
Kama ni Nurse nakushauri uandike tuu application,nitaipeleka Admin kuna uwezekano wa application Letter kumvutia mwajiri na hatimae ukaitwa.Hii hutokea mara nyingi sana kwenye ajira za FBO
 
Pharmacist mkubwa sana kwenye CTC,naona kumlipa Tech na Phamacist itakuwa gharama kubwa sana.But BWM Foundation wanahitaji Pharmacist kwa wingi sana Mkuu!!
 
Muda umebakia siku 5 ili usaili ufanyike na kazi kuanza kufanyika kuanzia tarehe 15Dec2012..kama kuna mtu mwenye kuhitaji nafasi hii sio lazima kutuma Vyeti.Just put your contact kwenye Email iliyotajwa na utatafutwa kwa hiyo Contact.
 
Tunashughulika na kazi za CARE AND TREATMENT(CTC) Iringa Mjini.Tunahitaji Mtaalamu wa Madawa ie Pharmaceutical Technitian mwenye uzoefu wa kazi ya utoaji dawa si chini ya miaka miwili.Nafasi hii inatakiwa ijazwe Haraka kabla ya Dec 2012.Mshahara ni Mzuri . Email: jacquiline2009@yahoo.com
Nimeshatuma CV yangu mdada eeeh, naomba unikumbuke kwenye ufalme huo, nami nitakukumbuka na kukuombea sana
 
LUKOKA D Nisikudanganye ila,ila Ingia ofisi za Jamaa wa Jhpiego ongea nao kijasiri naona kama yaweza kujibu! just try LUKOKA
 
Nashukuru Sana kwa wote ambao walichangamkia hii nafasi,Leo ndio tunafunga hili tangazo baada ya muda kwisha na kupatikana vijana wawili wanaohusiana na taaluma ya Pharmacy vide hili tangazo.Pia wote ambao walituma CV zao watambue kuwa wamejaribu maana ikitokea nafasi for sure tutawatumia Emails. Stay blessed.
 
Ntatuma CV mie nimesoma ni Project planner na pia Project manager.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom