Nafasi ya kazi Dereva - Mdada

Mtu ukila maharage ukashiba unaruhusiwa kuwaza chochote na kuandika chochote tu, by the way kwani si ni bure ku comment JF bwana, kwani shida iko wapi.
Pole mkuu kama nimekukwaza kwa hyo comment.
lakini pia angalizo usichukulie kila kinachoandikwa huku serious..vinginevyo utaumiza hisia zako mno..
again sory
 
Dar es salaam, wilaya ya Kinondoni kata ya Kawe mitaa ya Mbezi Beach
Uko Mbezi Beach hilo shavu itakuwakwa atakayepata,Mi nilijua huyo mwajiri labda wa kule kwetu manzese,Nyie madada mkuje mpate kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom