Nafasi ya kazi Dereva - Mdada

Mbn tumetuma uzi hauujibu mkuu jibu kama ndio au hapana mkuu mtu anajua
Kaka mbona nilishasema kabisa hii kazi kwa wadada mkuu?

Subiri itatokea ya wanakaka soon utaomba mkuu. Relax.
 
Habari? Ninaomba kama hutojali nifanye kazi na wewe, Ninaitwa Odax, Umri miaka 23, Elimu kidato cha Nne, Nina andika na kuongea kiingereza na Kiswahili kwa ufasaha. Kabila Mhaya, Jinsia Me. Nina cheti nilisomea 2016 Veta Chang'ombe basic driving na nina uzoefu wa udereva Miaka 4. nimeshawah kufanya kazi ya Udereva Binafsi, Magari makubwa na Costa Gari ya Shule, Mwalimu Julias Kambarage Nyerere primary school iliyopo Mbezi Beach Tangi bovu. Nina weredi, Nidhamu, upendo,umakini, Hofu ya MUNGU. Pia nina Wito na ninapenda watoto. Nitashukuru na kufurahi kama nitapata nafasi hiyo, Ila kama nitakosa ninaomba msaada hata kwa mahali pengine ambapo unaweza kunisaidia kupata nafasi.
Leseni yangu ina madaraja A, A2, B, C1, C2, C3, D, E.

Na Nikutakie majukumu Mema ya Kifamilia, Kikazi na Kiroho. Barikiwa.

Mawasiliano yangu ni:
0657 230355 whatsup/ 0746 785704.
Email: kasitaodax@gmail.com.
Facebook: Odax Alexander Kasita.
 
Daah hili tangazo ndo naliona leo, nyie mada ulishapata dereva? Nipo hapa, Mie Napenda sana kuendesha magari na huwa niko makini niwapo barabarani na huwajali sana abiria wangu. Kabla sijaanza safari nawatangazia kama wako kwenye Emirates.

Shurti tuu gari ntalofanyia kazi liwe BMW.....

Mshahara nakuachia unipe ambao una uwezo wa kunilipa, sita bargain. Sharti jingine sitalala nyumbani yako, ntakuwa nakuja na kuondoka.

Muhimu uzingatie muda wangu wa kazi, na route tutazokubaliana siku naanza kazi. Route za kuchomekewa kama boda, ntavunja mkataba. Ovataimu huwa sifanyi.

Ntafurahi sana kufanya kazi na familia yako, suala la kupeleka hadi gereji kwa sevisi na matengenezo usihofu ntalimudu pamoja na kulipeleka kawoshi Ila gharama ni zako.

Gari iwe na AC maana sipendi endesha vioo wazi na iwe na light tinted, sipendi macho kodo.

Ndimi Matata Kasie.

Dereva Mzoefu bin Mtiifu.
 
Mkuu unakunjurua makucha kabla hata ya usaili, are'u serious?

Wenzako huwa wanaomba hivyo vibarua kwa kurudisha mikono nyuma kama asimamavyo 'miguu pande' askari.

Ukishapata hiyo ajira,tena kwa kujaziana mikataba ya kisheria ndiyo sasa hizo 'nonga' waweza kuzisafisha waziwazi.
 
Mkuu usidhani kila kinachoandikwa humu watu wanamaanisha kweli...humu kuna watu wana good life,hata akikuomba kazi umpe usimpe hababaishiki...tunaoomba kazi huku mikono nyuma ni sisi wengine ambao maisha yetu tunayajua wenyewe
 
Ana good life wapi usikute anaishi tu kwa dada yake mtu kama huyo mtu ambae anaejielewa hata wakishua hawezi ongea ujinga kama huo.
 
Kwa kweli
 
Inawezekana mkuu asiwe na good life,but humu kuna watu wana good life sana though sio wote but kuna wanaoigiza pia...sio wote wapo na maisha kama tunayoishi mimi au wewe mkuu
 
Mkuu unakunjurua makucha kabla hata ya usaili, are'u serious?

Wenzako huwa wanaomba hivyo vibarua kwa kurudisha mikono nyuma kama asimamavyo 'miguu pande' askari.

Ukishapata hiyo ajira,tena kwa kujaziana mikataba ya kisheria ndiyo sasa hizo 'nonga' waweza kuzisafisha waziwazi.

Sitakagi unafiki, nasemaga ukweli wangu mwanzo akinikubali connection yetui inakuwa ni kutimiza wajibu na yeye anilipe tulichokubaliana. Kinyume na hapo mkataba unavunjika.

Hanilipi bure, simfanyii kazi zake bure, mizani yetu ikifikia usawa biashara ionafanyika, kusema ukweli sio kujikweza.
 
Wakuu poleni sana na mihangaiko ya hapa na pale.

Familia yangu inatafuta dereva mwenye leseni class D na kuendelea (E, C...) kwa ajili ya gari ndogo ya nyumbani ikijumuisha kupeleka watoto shuleni na kazi zingine zihusuzo kuendesha gari kwa mchana tu. Kutokana na mambo kadhaa wa kadhaa familia inapendelea dereva mwanamke anayejiamini, anaejua kazi yake na mwenye weledi barabarani.

Kama wewe ni mmoja wapo au unamfahamu mdada mwenye sifa hizo karibu sana pm kwa maelekezo mengine au tupia namba yako hapa nikutwangie

Shukrani za kipekee kwenu wote
mkuu cna kazi nionee huruma mi nidereva mzuri tuu
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom