Nafasi ya kaz yenye mshahara mnono

Kitukizuri

Member
Apr 25, 2011
21
1
nahitaji mshichana wa kaz anisaidie kaz ndogondogo hapa geto nikitoka collage nikute shwarii.
 
Maskini akipata makalio hulia mbwata......yaani wewe hivyo vijisenti vya mkopo tu unataka kuweka HG, ukipata hela ya maana itakuwaje? Acha Ubwanyenye dogo!
 
Kajifunza kwa wazazi mwacheni ndo vijana wetu wa kileo walivyo wanashani ni sifa kuwa na hg. Soma dogo acha usharobaro
 
Mm ni houseboy najua kupika kila kitu Kama upo tayar tufanye biashara!
 
Dogo inaonekana hajafahamu maisha yanaendaje. Sh 7500 kwa cku amekuta ni mamilion ambayo haoni pa kuweka. By da way wapo wanaopewa hiyo na hata cku chuo kinapofunga WANAKOPA NAULI. Ucwe limbukeni wa pesa, ITUNZE ILI NAYO IKU2NZE.
 
jamani mbona mnamshambulia si ndio anatengeneza ajira! akija uraiani naongeza zingine! hata akimpa mimba kwani imeandikwa hg asizae na boss wake tena akiwa hajaoa?
furahia boom! kazikwelikweli!
 
kweli hlo ni boom enzi zetu tulikua tunaiita hela nyeusi mana hata inavoisha isha huelewi
 
Hiyo Ela ya mkopo itatosha kweli kulipa huo mshahara mnono!

Mnafikiria wote wanategemea hela za mkopo tu? Kuna wenye wazee wao wana uwezo, kuna wenye kazi zao na wameamuwa kujiendeleza kusoma, kuna wenye "biashara" zao. Unanshangaza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom