Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,486
- 51,063
Kila utawala huwa una watu wanaoufanya utawala huo uonekane, kwa mfano katika utawala wa awamu ya Nne Magufuli alikuwa ni Icon. Kazi alizozifanya na kujituma kwake kulikonga nyoyo za watanzania na ni vigumu leo kutenganisha kupanda ngazi ya mamlaka kwa Magufuli na kazi alizozifanya akiwa waziri. Bidii yake ya kazi ilimlipa kwa kuaminiwa na CCM na wananchi.
Lakini katika watu waliokuwa Icons katika utawala uliopita na ambao walikuwa na uwezo mkubwa mno wa kudeal na migogoro ya kijamii na kisiasa nchini ni Steven Wassira.
Siwezi kumsahau Wassira jinsi alivyokuwa akicoordinate vikao vya maridhiano na mashauriano baina ya makundi mengi tu ya kijamii, mfano mmoja ni jinsi alivyoshiriki kwenye migogoro ya mahakama ya kadhi, migogoro ya kuchinja baina ya waislamu na wakiristo, migogoro ya sintofahamu baina ya wapinzan na serikalii etc.
Jaffo amepewa mtihani mdogo tu ambao amefeli vibaya mno, ameshindwa kusimamia haki ipasavyo katika suala hili la uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ni dhahiri kama Jaffo ameshindwa kusimamia zoezi hili kwa weledi basi ni dhahiri hafai kuendelea kukalia nafasi hiyo na hafai zaidi kushika dhamana ya juu zaidi ya hapo alipofika. Kama Jaffo kashindwa kutenda haki kwenye serikali za mitaa, akipewq dhamana kubwa ya uwaziri mkuu au uraisi ataweza kusimamia serikali kuu?
Wassira siyo mbunge, hawezi kupata uwaziri lakini kama rais anaweza kumpa uwaziri kisha akampa dhamana ya kusimamia mambo yanayohusu migogoro ya kisiasa. na kijamii nchini naamini anaweza kumsaidia sana.
Sijui Jaffo anasubiri nini ofisini hadi hivi sasa, ni nani wa kumwamini mtu aliyetaka kukuchinja halafu akabadirika ghafla na kuanza kukupulizia marashi na manukato, huenda anakulia timing zaidi!
Jafo ajipime, ajiangalie aone kuwa bado anaweza kutenda haki na ajiangalie aone kama anatosha katika hiyo nafasi.
Wananchi huku chini hatuna imani na Jafo. He must go!