Nafasi ya "HIPS" kwenye mapenzi

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
6,978
8,481
1. Ndugu zangu naomba kuelimishwa, elimu yangu ndogo Tena ya kuunga-unga kutokana na kure-sit Mara kadhaa bila mafanikio ya kupata Credits za kujiunga elimu ya juu zaidi.

2. Nauliza, nini nafasi ya "HIPS" au hata Trako katika mapenzi? Maana naona matangazo mengi yanataja Sana sehemu hizo za mwili.

3. Bila kuathiri majibu mtakayonipa, binafsi naona Kama imekuzwa kupitiliza.
 
ULISHAAMBIWA DELA BILA CHURA NI SAWA NA KANZU TU,JE CHURA INA KAZI GANI UNAPOVAA DELA?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom