Nafasi ya accountant trainee

Tujikomboe Finance

JF-Expert Member
May 8, 2013
212
195
Tunajishughulisha na shughuli za Microfinance, ofisi zetu zipo Mbagala Rangi Tatu jirani na Akiba Commercial Bank. Tunahitaji mhitimu wa shahada ya uhasibu ambaye anataka kujifunza kazi (kupata uzoefu). Sifa zake ziwe kama ifuatavyo:


  • Awe na stashahada au shahada ya uhasibu
  • Awe wa jinsi ya kike ili kuleta uwiano wa 50/50
  • Umri usizidi miaka 30
  • Awe mkazi wa Tarafa ya MBAGALA

Vigezo na masharti hayo kuzingatiwa. Kama umevutiwa tafadhali niandikie kwa sanduku(inbox), au piga 0754 300 880
 

rkgx

Senior Member
Nov 30, 2013
100
195
Kujifunza kazi tu haitoshi mkuu lazima kuwe na win win situation yeye ajifunze kazi kwenu while nyie mki-exploit her labour power, nafikiri ulipaswa useme pia mtamsaidiaje kujikimu ili kabla hajaamua kutumia crdt zake kukupigia simu awe amefanya maamuzi sahihi. Anyway asante kwa opportunity hope wadau watajitokeza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom