Nafasi wazi za madiwani katika kata 23 uchaguzi Wa Tarehe 16 Septemba 2018

SOUND HEALTH

Member
Jul 8, 2014
82
25
CHAMA CHA SAUTI YA UMMA -SAU.
Kurugenzi ya uenezi na uchaguzi SAU inawatangazia wanachama wote wenye nia ya kuwania nafasi za udiwani kuwa zoezi la kupokea majina ya watia nia litaanza tarehe 13 Agosti 2018 had tarehe 17 August 2018 saa kumi na nusu alasiri. Nafasi wazi kwa mujibu wa tume ya taifa ya uchaguzi ni katika kata zifuatazo:1.Kiutu (Arumeru magharibi) 2.Olturoto (Arumeru magharibi-Arusha) 3. Mswakini (Monduli-Arusha) 4.Nzingiziwa (Ukonga DSM) 5.Vingunguti (Ukonga DSM ) 6. Mbagala kuu (Mbagala DSM ) 7. Kizota ( Dodoma mjini) 8. Bugalama (Geita vijijini) 9.Nasai (Siha- Kilimanjaro) 10. Kia (Hai Kilimanjaro) 11. Machame(Hai- Kilimanjaro) 12.Kashenye(Missenyi-Kagera) 13.Lolera(Kiteto-Manyara) 14. Maanga (MBEYA mjini) 15. Sisimba (MBEYA mjini) 16 Iwambi (MBEYA mjini) 17. Nsalaga (MBEYA mjini) 18
Nkuyu (Kyela-Mbeya ) 19.Mwahunzi(Kyela-Mbeya) 20. Kisesa (Meatu- Simiyu 21. Tindabuligi (Meatu-Simiyu) 22. Masuguru (Korogwe mjini -Tanga) 23. Mwanzage-Tanga mjini)
Tunaomba wanachama wa SAU wajitokeze kwa wingi kuwania nafasi hizo.
Kwa Maelezo zaidi piga simu 0756 838 770.
Ahsanteni

Boaz Donard Mwakasaka
NAIBU MKURUGENZI WA UENEZI NA UCHAGUZI TAIFA- SAUTI YA UMMA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom