Telecommunication engineering huwa inajaa Udom?

Mjomba kazola

Member
Mar 25, 2017
33
14
Habari zenu wanajamvi,
Ningependa kuuliza kwa wale wazoefu na chuo cha UDOM hivi nafasi kwa upande wa CIVE (Telecommunication engneering) huwa zinajaaga?

Sababu ya kuuliza ni kwamba nahitaji ku apply lakin had sasa bado sijapata Award verification kutoka NACTE na sijui watanipa lini, wananambia nisubiri wanashughulikia.

So nilitaka nijue ili nisije nikajisumbua kulipia hela ya fom 30,000/=
kama vp ni apply kwingine

ASANTENI
 
Application form? Kwahiyo unataka kusema baada ya hiyo application form kutoa 30000 then unakuja unalipa tena 10000 ya TCU? Ndo nitakuwa naskia kwako hili swala

Sent using Jamii Forums mobile app
Blaza NACTE unawalipa 10000 kwa ajili ya verification ila kila chuo utakachoenda ku apply lazma ulipie application form ambayo haiusian tena na 10000 ya nacte
Nadhani umenipata
 
Back
Top Bottom