Nafasi nne (4) za ajira kwa Wauzaji wa Bidhaa na Electronics/Computers

bizplan

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
575
547
Nafasi za kazi kwa watakaopenda kuwa wauzaji wa bidhaa za Computer/ Electronics.

1. Muajiri angependa wauzaji ambao ni wanawake.

2. Elimu kuanzia kidato cha nne.

3. Mahali ni Dar es Salaam.

4. Uzoefu kuanzia miezi 6.

5. Mshahara ni mzuri.

6. Awe anaweza kuongea Kingereza na Kiswahili.

7. Tarehe ya kuanza kazi ni tarehe 1-October 2021.

8. Tuma CV yako kwa humble2080@gmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom