Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

Jamani wadau wa JF nimefuatilia kwa makini mjadala wenu kuhusu hiki chuo chetu kipya cha Tanzania International University(TIU). Nataka kuwahakikishia na kuwaondoa wasiwasi kuwa hiki chuo kipo na Mipango ya kukianzisha ilianza toka 2010 kwa ku-prepare curriculum, kujenga majengo nakufanya vitu vingine ambavyo vitafaa kwa chuo kuweza kukubalika na TCU lakini pia kuwezesha kutoa elimu bora ya chuo kikuu pindi TCU watakopo ruhusu chuo kianze ku-enrol wanachuo. Kwahiyo basi naomba kuwahakikishia wanaJF na watanzania kiujumla kuwa chuo kipo Kimara Mwisho njia ya kwenda Bonyokwa nafasi za kazi zilizotangazwa ni za Kweli hakuna utapeli wowote mtu anayejiona anafit kwenye post yeyote kati ya zile zilizotangazwa atume maombi yake; kwani chuo kinahitaji wahadhiri wa ngazi zote toka ma-professor hadi ma-tutorial ili kiwe na uwezo wa ku-enrol student mwaka huu. Ndugu za wanaJF na watanzania wote tuachane na maneno mbovumbovu yasiyokitakia chuo hiki kimpya TIU maendeleo. Mwisho kabisa nawaweke link ya TCU inayoonyesha chuo hiki kimesajiliwa kwa REG No CR1/028 ila kinasubiri kuanza ku-enrol wanafunzi baada ya kuajili wa2 wenye sifa nzuri kama nyie http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Recognised_Universities_Colleges_Centres.pdf baada yakufunguka angalia no 20. WanaJF jitokezeni ombeni kazi kwani hizi kazi pia zimetangazwa katika mitandao ifuatayo http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?bmed=tz na http://www.zoomtanzania.com/sectionoverview?ParentSectionID=8&CurrentPage=3&SortBy=MostRecent waweza zi-copy link hizi na kuzi-paste kwenye browser bar.
 
Tatizo siyo uwepo wa chuo bali ni kwanini hamna hela za kulipa interview panel hadi muwatoze applicant wawasaidie kulipa?toeni hizo tozo zenu ili watu watume maombi
Jamani wadau wa JF nimefuatilia kwa makini mjadala wenu kuhusu hiki chuo chetu kipya cha Tanzania International University(TIU). Nataka kuwahakikishia na kuwaondoa wasiwasi kuwa hiki chuo kipo na Mipango ya kukianzisha ilianza toka 2010 kwa ku-prepare curriculum, kujenga majengo nakufanya vitu vingine ambavyo vitafaa kwa chuo kuweza kukubalika na TCU lakini pia kuwezesha kutoa elimu bora ya chuo kikuu pindi TCU watakopo ruhusu chuo kianze ku-enrol wanachuo. Kwahiyo basi naomba kuwahakikishia wanaJF na watanzania kiujumla kuwa chuo kipo Kimara Mwisho njia ya kwenda Bonyokwa nafasi za kazi zilizotangazwa ni za Kweli hakuna utapeli wowote mtu anayejiona anafit kwenye post yeyote kati ya zile zilizotangazwa atume maombi yake; kwani chuo kinahitaji wahadhiri wa ngazi zote toka ma-professor hadi ma-tutorial ili kiwe na uwezo wa ku-enrol student mwaka huu. Ndugu za wanaJF na watanzania wote tuachane na maneno mbovumbovu yasiyokitakia chuo hiki kimpya TIU maendeleo. Mwisho kabisa nawaweke link ya TCU inayoonyesha chuo hiki kimesajiliwa kwa REG No CR1/028 ila kinasubiri kuanza ku-enrol wanafunzi baada ya kuajili wa2 wenye sifa nzuri kama nyie http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Recognised_Universities_Colleges_Centres.pdf baada yakufunguka angalia no 20. WanaJF jitokezeni ombeni kazi kwani hizi kazi pia zimetangazwa katika mitandao ifuatayo http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?bmed=tz na http://www.zoomtanzania.com/sectionoverview?ParentSectionID=8&CurrentPage=3&SortBy=MostRecent waweza zi-copy link hizi na kuzi-paste kwenye browser bar.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom