Nafasi mpya za kazi (national insurance corporation) chc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi mpya za kazi (national insurance corporation) chc

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KASRI, Aug 2, 2009.

 1. K

  KASRI Member

  #1
  Aug 2, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana JF,

  Shirika la Bima la Taifa - Tanzania (NIC) katika kurekebisha utendaji wake na mambo mengine ambayo siyafahamu vizuri, lilitangaza nafasi za kazi nyiiiiiiiingi mwezi July 2009.

  Swali nalojiuliza ni je; NIC/Consolidated Holding Corporation (CHC) watazisoma/pitia barua zote zilizotumwa hapo au ndo utakuwa mtindo wa kujuana?

  Ombi langu kwa yeyote anayehusika hapo NIC/CHC; tujaribu kuwa wavumilivu kidogo tuzifungue barua zoooooote na kuzisoma, hakika tutakutana na vitu muhimu sana. Mimi mwenyewe nimeomba kazi (Accountant) lakini msururu wa waombaji wengine niliokutana nao umenidhihirishia kuwa wapo/tupo wengi tunaofaaa ila nafasi tu ndo finyu.

  NIC/CHC NASUBIRI MNIPIGIE SIMU MAANA NAOMBA NIWEKE WAZI HAPA KUWA KUNA BARUA 10 NIMEZIPELEKA PALE CHC AMBAZO KIMSINGI SIO ZA KUOMBA KAZI ILA NIMEPELEKA ILI KUJUA JE BARUA ZITASOMWA AU NDO USANIII TU?

  NILICHO KIFUNGA NDANI YA BAHASHA NI VITU TOFAUTI AMBAVYO KWA MTU YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU (NINAAMINI PALE NIC/CHC WOTE WANA AKILI TIMAMU) LAZIMA ANIPIGIE SIMU AU ANITAFUTE.

  NILIAMUA KUINGIA GHARAMA HIYO BASI TU ILI KUJIRIDHISHA KUWA BARUA WANAZISOMA.

  NIC/CHC TAFADHALI FUNGUENI NA KUZISOMA BARUA ZOTE NDIPO MCHAGUE WACHACHE NAJUA WENGI TUNAFAA LAKINI SOMENI. KUJUANA KUTAISUMBUA NIC/CHC (MTAZAMO WANGU).

  ASANTE
   
 2. M

  Maquiseone Member

  #2
  Aug 2, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hongera mkuu, tuansubiri majibu yako baada ya hilo zoezi.
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  mbonaunawasiwas hivyo kwani wanamtandao kwenye shirika hilo ni kina nani
  kama uko professional streghth naamini utaitwa tu mazee punguza mapresure.
   
 4. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Are you professional Accountant?
   
 5. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwanini wasizipitie zote una uhakika gani acha wasiwasi mkuu.

  umejuaje waombaji wengine wanafaa JE umefungua maombi yao na kuyasoma?

  yaani wewe unapoteza rasilimali na muda wa watu kuomba nafasi ili tu kujua kama zitasomwa?

  kama una wasiwasi watu hawana akili timamu kwa nini umepeleka maombi yako?

  acha jazba mkuu ingia katika soko ushindane
   
Loading...