Nafasi mbalimbali za madereva Sekta Binafsi

peter_intelligent

JF-Expert Member
Aug 1, 2018
603
514
Habarini za wakati huu?

nimerudi tena humu ndg zanguni mimi kijana mwenzenu mnisaidie kupata kazi ya udereva..

mpaka sasa sijapata kazi ya kudumu na bado vile vile naendelea kuziangaikia sehemu mbali mbali kwani mtafutaji hachoki,akichoka ameshapata.

madaraja ya leseni niliyonayo ni D,C1.

elimu yangu ni ngazi ya diploma hivyo yeyote ambaye swala hili lipo ndani ya uwezo wake-anisaidie kupata kazi,ntamshukuru sana sana.

ninapoishi ni dar es salaam ila nipo tayali kufanya kazi mkoa wowote.

pia nitumie fursa hii kutoa connection japo ni ndogo sana atakaeona inamfaa asisite kuja.

kama yupo dereva humu hana pa kujishikiza,anaweza kunifata PM tushirikishane.

kuna mahala kuna vibarua vya madereva na kwa mwezi haukosi nafasi hata mara mbili, hata mimi huwa nakwenda huko kujishikiza kipindi hiki sina kazi ya kudumu.

karibu uje tuungane ndg kwani ni bora uje huku kupunguza ukali wa maisha kuliko kujifungia ndani kuzisubiria kazi/ ajira, huwezi jua mlango wako wa kutokea ni upi kwani mkaa bure si sawa na mtembea bure.

nawashukuru sana kwa kusoma ujumbe huu na Mungu awabariki sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole kwa juhudi zako ila anza kufikiria nje ya box,tafuta passport na panua wigo wa utafutaji hasa kama u still young,dunia ya sasa ni kijiji,acha woga wa kimaisha ,kama huwezi take risk utakufa trying mkuu.GOOD LUCK
 
kaka mkubwa nakushukuru sana sana kwa ushauri wako.

ila katika moja ya malengo yangu ni kupambana humu humu Tanzania mpk kieleweke yaani tutabanana humu humu nchini.

swala la kwenda nje ya nchi lipo ndani ya uwezo wangu-ila mafanikio ni popote pale.

nisikufiche rafki yangu,mbali na mambo yooote ila nyumban ni nyumban tu, ugenini hata kama unakula bata na kuku kila siku,huwezi kuwa huru kama nyumbani kwenu hata kama mnalala njaa.

kule kama umekwenda bila ramani utapoteza pesa zako na kuishi maisha magumu zaidi ya huku na ukifanya masihara unakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah shughuri ya kusaka ajira ya udereva ni hatari aisee. Hata mimi pia nipo kwenye msako japo sasa nimejishikiza kwenye uwakala. Nimepeleka maombi sehemu kadhaa ila bilabila, sijafahamu nakosea wapi. Madereva mlioajiriwa tupeni maujanja tafadhari.
Rejea:
Dereva mahiri

kazi ya udereva ni kazi ya kuonekana kwa sababu kazi nyingi za hvyo zipo kwa watu hvyo bila kuonekana ni ngumu kupenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naitwa PAUL JAMWA MWAMTEKE.
Natafuta kazi ya udereva ninauzoefu wa kuendesha magari makubwa na madogo.nimepitia chuo cha usafiriahaji cha taifa (NIT).leseni yangu ina madaraja kama yafuatayo A.B.C.C1.C2.C3.D.E.F.G.
Ninauzoefu wa miaka 10.mawasiliano 0689517393/0747474369/0653405923/
1584292058773.jpeg
IMG_20200315_193429.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naitwa PAUL JAMWA MWAMTEKE.
Natafuta kazi ya udereva ninauzoefu wa kuendesha magari makubwa na madogo.nimepitia chuo cha usafiriahaji cha taifa (NIT).leseni yangu ina madaraja kama yafuatayo A.B.C.C1.C2.C3.D.E.F.G.
Ninauzoefu wa miaka 10.mawasiliano 0689517393/0747474369/0653405923/View attachment 1389279View attachment 1389280

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah aisee hongera sana mdau, leseni yako imeshiba vilivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom