Nafasi Kwenye Container

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
5,298
7,646
Nawasalimu Wakuu.
Moja kwa moja ninyooke nisiwachoshe.Nimefuatilia bei za gari kuingiza nineona naweza kununua sasa maana mambo ya msingi nimepunguza la starehe kidogo nimiliki usafiri wangu ka mara ya 3 baada ya kuacha 2007 nakurudi changanyikeni.Kama kuna mtu anayo nafasi kwenye Container na analeta mizigo naomba kuingiza Toyota Wish nimlipe kidogo maana kwa gari moja ninunue container la peke yangu inakuwa sijafanya cha maana,hyo $3000 bora inaisaidie kuitolea bandarini hiyo gari.Je kuna mtu anayo container imebakiza nafasi tukubaliane niingize gari?au inakuwa hairuhusiwi kuchanganya gari na vitu vingine?

Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Hiyo gari inatoka wapi mkuu,
kwakifupi unahaja ya kulipia kontena unapo agiza gari,mizigo yote pamoja na magari yanalipiwa kulingana na cubic meter mkuu na sio kontena angalia vizuri utaliona hilo. so fanya hesabu za cubic meter za hiyo gari then hiyo ndo utamlipa anaekuuzia kama ni japan inakuwa cheaper kidogo, nchi nyingine unakuta 1cubic meter wanapiga mpaka 400USD.
KAMA JAPAN NA IPO TAYARI NICHECK INBOX NIKULETEE
 
Nawasalimu Wakuu.
Moja kwa moja ninyooke nisiwachoshe.Nimefuatilia bei za gari kuingiza nineona naweza kununua sasa maana mambo ya msingi nimepunguza la starehe kidogo nimiliki usafiri wangu ka mara ya 3 baada ya kuacha 2007 nakurudi changanyikeni.Kama kuna mtu anayo nafasi kwenye Container na analeta mizigo naomba kuingiza Toyota Wish nimlipe kidogo maana kwa gari moja ninunue container la peke yangu inakuwa sijafanya cha maana,hyo $3000 bora inaisaidie kuitolea bandarini hiyo gari.Je kuna mtu anayo container imebakiza nafasi tukubaliane niingize gari?au inakuwa hairuhusiwi kuchanganya gari na vitu vingine?

Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Watu huweka Magari kwenye Container kwa ajili ya usalama zaidi, au pia kama wanataka kuja kufanya Magumashi Bandarini, mfano kudanganyishia kua ni Nguo za Mitumba (siku hizi ni ngumu). Lakini kwa kawaida waagizaji wengi huagiza kwenye Meli gari linakaa wazi tu kama liko Yard vile (Inaitwa Ro-Ro).

Pia sidhani kama mtu aweza kuagiza Mzigo kwa Container ikabaki nafasi ya kuweka gari kama Wish, maana Ukute kwenye kwenye 20Feet Container ndio inakaa hiyo Wish moja tu, sasa yeye muagizaji atakua ameagiza nini labda iache nafasi kubwa hivyo?? Na Ingekua Gari ni unalifungua fungua na kuja kulifungia likifika labda.

Pili hiyo Gari inatokea wapi huko walikokuambia usafiri ni $3,000 mpaka Tanzania?? Kama ni Wish na unatoa japan kwa usafirishaji wa Ro-Ro inaweza kua labda $1,200 estimates. Mfano angalia hili gari hapa chini.
FOB = $1,300
Freight = $1,100 (Ndio hiyo uliyotaka kulipia container)
Marine Insurance = $55
Inspection = $300
TOTAL $2,755 mpaka Dar es Salaam, unabaki wewe na TRA na TPA.

upload_2017-11-4_14-27-59.png
 
Back
Top Bottom