Nafasi adimu kwa Nape Nnauye...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Huu ni uwanja wa Nape Nnauye. Asiingiliwe. Karibu jukwaani kaka Nape uelezee kwa ufasaha mambo haya:

1. Pesa za Uswisi

2. Kujivua gamba

3. Ahadi za Rais Kikwete na utekelezaji wake

4. Hatua za kinidhamu dhidi ya Mawaziri mafisadi waliotimuliwa

5. AoB

Karibu sana........jamani makofi kwake......
 
Nimeipenda hii lakini kwa mantiki tungekuwa watu wa kujenga na tukavumilina katika misimamo. mfano nikichulia hoja humber moja pesa za Uswiz, wote tunajua NAPE kama NAPE sie mwenye pesa hizo, lakini kwa jinsi baadhi yetu humu wana JF kwa matusi na kukubaliana katika kutofautina ndani ya basi atakayokumbana nayo NAPE utafikilia ndiye aliyekwiba mabilioni yetu ya Uswiz. Ndivyo vivyo ndani ya CCM pia kuna wana ccm, ambao matendo yao na mienendo yao katika kujenga chama chao hicho ni ya ovyo kama, baadhi ya wanajamii wenzetu huku ndani ya JF. Isingekuwa ni bidii za moderators basi tusingekuwa na issue ya ban kulekebisha tabia za wanajamii baadhi ambao miendondo yao ingekuwa ni luksa basi hata JF ingejikuta matatizoni na vyombo vinavyojali maadili.

Hivyo tungefanya kuvumiliana na kumpa jukwaa kwa kuanza na issue number moja mpaka AoB angetusaidia kutufungulia kwa mapana yake MSIMAMO WA CHAMA CHAKE JUU YA ULIYOYATAJA HAPO JUU.

Ebu wanaJF wenye kupenda kejeli na matusi tupeana lugha heshima na pale basi unapoona amekubore basi jalibu kuwa mstahimilivu ili tupate picha na wengine wenye uelewa watapanuka na kupata uwanja mkubwa wa kuzunguka na kupima uzito.

Lakini kwa mwenendo wa kubwagina matusi na kejeli tunakosa mengi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
umempa maswali mengi kwa wakati mmoja, anaweza kuchanganyikiwa, ungeanza na swali moja moja
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Nape hawezi kuja humu jamvini, Hoja zilizotolewa ni Nzito. Nyie bado mnamrudisha kwenye suala la Mafisadi na Magamba wakati yeye kesha sema sasa ni wakati wa kuhuisha CHAMA
 
Nape hawezi kuja humu jamvini, Hoja zilizotolewa ni Nzito. Nyie bado mnamrudisha kwenye suala la Mafisadi na Magamba wakati yeye kesha sema sasa ni wakati wa kuhuisha CHAMA
Ahuishe chama kwani alishawahi kutangaza kufa kwa chama? Kama kawaida yao wana tabia ya kuanzisha ajenda ambazo hazijawahi kuwa na mwanzo. Mfano, tumesikia kujivua gamba, lakini hawasemi hilo gama lilivaliwa lini na alilivaa nani. Haya wanakuja na kuhuisha chama, hawasemi kilikufa lini na nani alikiuwa
 
Jamani Nape anajua kila kitu, hawajibiki kwa mtu ni nyinyi tu hamataki kumwelewa na kuelewa
 
Haya kaka Napeta Na Oyeee(NAPE NAUYE),uwanja wako huo kutoa majibu au msimamo wenu wa chama kuhusu mambo uliyotajiwa hapo juu.
 
Zzzzzziii!Jr hayawezi haya,muulize kadi za chama cha magamba,muulize babu(Dk Slaa)ameoa au laa,amezeeka n.k,hayo ndo anaweza kujibu,siyo mambo hayo uliyomuuliza ingawa ndiyo yenye mashiko kwa mustakabali wa Taifa letu tajiri zaidi duniani.
 
tatizo la Nape bado ana usingizi wa chama kushika hatamu daima,
kuwa kila Mtanzania anawaza CCM
hana habari kuwa wananchi wanataka majibu ya kero zao na ahadi za maisha bora kwa kila Mtanzania
watu wamechoka, huwa namwona mtu anaeshabikia CCM kama hana akili nzuri
sasa ni wakati wa kuketi pamoja kujenga nchi na sio kuimba sera za chama,chama chama tangu 1977
watanzania tuamke, sasa CCM na Nape they have to go,go go goooo forever kama KANU
huwa nawaambia watu wa kijijini kwangu wanalalamika umaskini wa nini wakati wamejitakia kwa kuchagua CCM kila baara ya miaka mitano.
 
pia atueleze kwA nini hajazungumza chochote kuhusu zile nyara za serikali zilizosafirishwa na katibu mkuu wake. Je, hana uchungu na Hili au ni sera ya chama?
 
Huu ni uwanja wa Nape Nnauye. Asiingiliwe. Karibu jukwaani kaka Nape uelezee kwa ufasaha mambo haya:

1. Pesa za Uswisi

2. Kujivua gamba

3. Ahadi za Rais Kikwete na utekelezaji wake

4. Hatua za kinidhamu dhidi ya Mawaziri mafisadi waliotimuliwa

5. AoB

Karibu sana........jamani makofi kwake......
Ukimtegemea kilaza akupe majibu ya mswali magumu wewe unakuwa kilaza yake
 
Zzzzzziii!Jr hayawezi haya,muulize kadi za chama cha magamba,muulize babu(Dk Slaa)ameoa au laa,amezeeka n.k,hayo ndo anaweza kujibu,siyo mambo hayo uliyomuuliza ingawa ndiyo yenye mashiko kwa mustakabali wa Taifa letu tajiri zaidi duniani.

muulize Nape kuwa Dr slaa ni rijali? Hapo atakujibu ila ktk mambo ya msingi hutamuona.
 
Nape mtoto wa babu aliyekuwa anafundisha ukakamavu lindi mwaka 1965?!.. Huyu si ndiye aliye-ROTATE au kuzungusha form six?!.. Ngoja tusubiri!
 
Huu ni uwanja wa Nape Nnauye. Asiingiliwe. Karibu jukwaani kaka Nape uelezee kwa ufasaha mambo haya:

1. Pesa za Uswisi

2. Kujivua gamba

3. Ahadi za Rais Kikwete na utekelezaji wake

4. Hatua za kinidhamu dhidi ya Mawaziri mafisadi waliotimuliwa

5. AoB

Karibu sana........jamani makofi kwake......

Vipi babu na mzazi mwenzake walishatoa statement kuhusu maswali walioulizwa na kamanda Matola
 
Nnauye Jr huwa hakai kwenye mjadala. Hata post zake hachangii. Huwa anawaachia vijana wake waendelee kuchangia "kwa mujibu wa maelekezo!" Kwahiyo watakuja vijana wake kukujibu.
 
Last edited by a moderator:
Nnauye Jr huwa hakai kwenye mjadala. Hata post zake hachangii. Huwa anawaachia vijana wake waendelee kuchangia "kwa mujibu wa maelekezo!" Kwahiyo watakuja vijana wake kukujibu.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni uwanja wa Nape Nnauye. Asiingiliwe. Karibu jukwaani kaka Nape uelezee kwa ufasaha mambo haya:

1. Pesa za Uswisi

2. Kujivua gamba

3. Ahadi za Rais Kikwete na utekelezaji wake

4. Hatua za kinidhamu dhidi ya Mawaziri mafisadi waliotimuliwa

5. AoB

Karibu sana........jamani makofi kwake......

Nape Kilaza, namuona uwanja wa Uhuru anahudhuria miaka 51 ya kuzaliwa kwa Tanganyika....(tunasherekea nini wakati nchi hiyo haipo.....?).
 
Huu ni uwanja wa Nape Nnauye. Asiingiliwe. Karibu jukwaani kaka Nape uelezee kwa ufasaha mambo haya:

1. Pesa za Uswisi

2. Kujivua gamba

3. Ahadi za Rais Kikwete na utekelezaji wake

4. Hatua za kinidhamu dhidi ya Mawaziri mafisadi waliotimuliwa

5. AoB

Karibu sana........jamani makofi kwake......

1. Pesa za uswisi ndizo zinajenga ccm
2. Kujivua gamba kumekuwa kuuhuisha chama
3. Ahadi za kikwete wameamua kupandisha mawaziri majukwaani na kulazimisha watumishi wa serikali kujibu
 
Back
Top Bottom