Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

Ile miezi mitatu ya kuweka chenja nayo unajiita umepita JKT?

National Service Compulsory Program ilianzishwa kisiasa na ndio maana hata mtaala wa mujibu haufanani na wa kujitolea (except pilot intake ya 2013 ya wanafunzi 5000 ambao mujibu na wa kujitolea walichanganywa)

Hivyo basi,wanapozungumzia vijana waliopita JKT ,hawawazungumzii nyie maselule wa miezi mitatu

Umeeleweka hodari koplo kuwa makini na lindo na uache dharau serikali yetu haifanyi mambo kama unavyodhani wewe
 
Ila bora wawatoe hao wa huko malezi na sisi mtaani tupewe nafas za kuomba kujitolea..... juzi juzi pia nimeona JKT wamezindua kambi mpya JKT ITAKA (Songwe), JKT MPWAPWA (Dom), JKT MILUNDIKWA (Rukwa), JKT MAKUYUNI (Arusha) nadhani mambo yatakaa poa kabla ya December
 
sio kwa mujibu wa sheria acha kuchanganya mambo kama wewe umepita kwa mujibu hata usisogee kabisa hii ni kwaajili ya wa waliojitolea
 
Mkuu naomba nijuvye hivi waliosomwa leo ndio tayari hakuna tena wemaliza au kila sehemu kuna awamu yake ya kusomwa msaada majibu mkuu
Bado hawajamaliza wanasoma kila kambi wameanza na kambi za dar kisha wanaelekea mikoani hata 832kj ruvu bado hawajasomwa wanaweza kusomwa leo usiku au kesho, vijana chakula hakipiti huku kila mmoja anamuomba Mungu wake
 
Bado hawajamaliza wanasoma kila kambi wameanza na kambi za dar kisha wanaelekea mikoani hata 832kj ruvu bado hawajasomwa wanaweza kusomwa leo usiku au kesho, vijana chakula hakipiti huku kila mmoja anamuomba Mungu wake
Asante sana mkuu ila kama utakuwa unafaham mchakato huu huwa unafika kipind gani hadi umalize naomba unambie mkuu, kama siku 5 ,6,7,wiki .
 
Back
Top Bottom