Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

Vita ya mujibu aka wavaa miwani aka maselule aka casualties na wakujitolea ambao nashangaa wanafanya nn online wakati walitakiwa wawe wanajila saa hizi...anyway kuajiriwa hao 3k alikua akimaanisha wakujitolea walioko makambini na wachache sanaaaaa wa mujibu wa sheria ambao kwa asilimia kubwa watoto wa wakubwa watajichomeka humo kwa ajili ya kusoma military science pamoja na cadet kwa mpigo pale TMA kwa miaka mitatu(hii ni mpya na ni intake ya kwanza kusoma military science)
Kuhusu kuchukua uraiani hilo sahau kabisa jeshi halifanyi hivo tena baada ya kumdaka mamluki flan hivi (kama unafuatilia utamfahamu) vilevile raia wana mapuuza sana hivyo inabidi wakatolewe uraia kwanza ndo waingie chomboni
Watachukua uraiani endapo kutakua na uhitaji maalumu mf madaktari marubani etc tena kigezo kitakua mujibu wa sheria.....
 
mkuu upo jw nn
 
Ndo ungeuliza kwamba huo utaratibu umeanza lini ndugu(unaita porojo).

NNa nikifikia hapo huwa siendelei kubishana tena. Mimi nilitoa taarifa tu kwa uzoefu wangu chukua/acha.

huo utaratibu umenza enzi za kikwete na ninachokiongea Nina hakika nacho
 
jk.PNG
 
Back
Top Bottom