Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,025
- 15,312
Mkuu una elimu gani???Nafasi za jkt za mwaka huh zinatoka lini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una elimu gani???Nafasi za jkt za mwaka huh zinatoka lini ?
Aaaah wapii ngoja tuone. Maana ajira zenyewe elfu 3 tuu. Na hiyo ndo idad ya wanajkt wa kambi moja tuuTetes znatoka mwez 10 mwshon maana ndo kwanza zmetoka ajira za JWTZ so mpaka wamalze usail
Kumbe wewe ni form six leaver ambaye huna professional ndio maana unaforce unachotamani kitokee...Nimekuelewa mkuuWewe hujitambui, hebu sikiliza audio au tazama video fupi utasikia akisema hao elfu tatu ni maofisa au maaskari. Kasema hao 3,000 ni junior officers na askari. Alisema hatuwezi kuwa na maafisa tupu katika jeshi na ndipo akaangushia kwenye suala la ajira 3,000.
Hutaki maelezo yangu kaa na kaa uzisubiri hizi ajira utashtuka bajeti ya 2018/19 ikisomwa na still uko home.
Pia usijidanganye kuwa jkt wa kujitolea wote ni lasaba na form four, wengi wana vyeti vyao vizuri.
Ungekuwa umepitia mujibu operetion Miaka 50 ya JKT awamu ya kwanza ungeamini hili. Wenye barchelors ,diploma na astashahada wengi tulipiga nao kozi. Mimi nilipiga mujibu RUVU 2013 ambapo miezi miwili na nusu ya kwanza tulianza na wakujitolea na kisha kutenganishwa.
Kumbe wewe ni form six leaver ambaye huna professional ndio maana unaforce unachotamani kitokee...Nimekuelewa mkuu
Naomba unipe maana ya neno professional kwanza halafu nitakujibu kwa vielelezo, hapo ndipo tutajua nani ana professional inayompa ulaji mjini kati yako na yangu.Kumbe wewe ni form six leaver ambaye huna professional ndio maana unaforce unachotamani kitokee...Nimekuelewa mkuu
Ile miezi mitatu ya kuweka chenja nayo unajiita umepita JKT?
National Service Compulsory Program ilianzishwa kisiasa na ndio maana hata mtaala wa mujibu haufanani na wa kujitolea (except pilot intake ya 2013 ya wanafunzi 5000 ambao mujibu na wa kujitolea walichanganywa)
Hivyo basi,wanapozungumzia vijana waliopita JKT ,hawawazungumzii nyie maselule wa miezi mitatu
watu wanajifanya wajuaji as if wapo ndani ya system.Watu mnajifanya wajuaji kwelikweli wakati mnaongea ujinga na msichokijuwa
OPP muungano wanakwenda wote hawa wengine watadonoa donoa tuNawaona wazee wa kuwamba ngoma mnavyovutia kwenu,yani humu waliopita mujibu wanavutia kwao na raia waliopeleka maombi NGOME nao wanavutia kwao kwa kigezo cha professional...wote mnaweza mkawa wakweli au waongo au pengine mmoja wenu akawa mkweli ila ni suala la muda tu.Hadi sasa mwenye uhakika ni op muungano tu,kwa maana op kikwete wapo wengi hawawezi kwenda wote ni kizali cha mtu tu.Niwatakie uwambaji mwema.
OPP muungano wanakwenda wote hawa wengine watadonoa donoa tu
Ni kweli mkuu kwani Rais akitoa tamko maana yake serikali imesema hivyo taarifa rasmi inaweza isiwepo ila unachotakiwa ni kufuatilia vyombo vya habari na kuulizia ahadi ya Rais mara kwa mara kwenye mamlaka zinazohusikaEm wakuu ..mwenye taarifa kamili na uhakika .tunaomba atujuze
Watu tunawaelekeza humu ndani wanadhani tunawakatisha tamaa
Taratibu zinajulikana. Watakaochukuliwa ni wale waliopita mafunzo ya kujitolea. Walioko kambini na walio mtaani(baada ya miaka mi2) kuisha.
Hawa wakiondoka itafungua milango ya kutangazwa nafas mpya za kwenda kujitolea. Ila ukweli mchungu ni kuwa HAKUNA mtu anayeajiriwa katika chombo chochote cha usalama Tz bila kujitolea kwanza.
Ukisema hivo na wale askari Polisi ambao wamekuwa wakichaguliwa kwenda Polisi baada ya kuhitimu kidato cha NNE/sita wanakuwa wamejitolea wapi? Na hii ilikuwepo hata baada ya hizo porojo unazozisema wewe.
Fact labda kuwe na mengineyoWatu tunawaelekeza humu ndani wanadhani tunawakatisha tamaa
Taratibu zinajulikana. Watakaochukuliwa ni wale waliopita mafunzo ya kujitolea. Walioko kambini na walio mtaani(baada ya miaka mi2) kuisha.
Hawa wakiondoka itafungua milango ya kutangazwa nafas mpya za kwenda kujitolea. Ila ukweli mchungu ni kuwa HAKUNA mtu anayeajiriwa katika chombo chochote cha usalama Tz bila kujitolea kwanza.
Fact labda kuwe na mengineyo
Wa kujitolea na mujibu wa sheriaNdo nashangaa huyu anadhani wanaonhelewa wale wa mujibu wa sheria(miez mi3) ambao hata namba nadhani hawana.
JKT kwa kujitolea wapo vijana kibao kambini,mtaani kwenye makampuni ya ulinzi nk. Ambao hawa kozi yao ni ndefu na deep zaidi kuliko wale Form six leavers wanaoenda kwa lazima