Nafasi ya kazi ya Pharmacy

Mimi ni mmiliki wa pharmacy iliyoko maeneo ya sinza Daresalaam. Nina nafasi 2 za kazi.
1:ADDO -wa dispensing
-awe na leseni toka Pharmacy council
2:pharmacist(degree holder)kwaajili ya usimamizi wa Pharmacy
-Awe ana leseni ya usimamizi toka Pharmacy council
-Awe ndani ya Daresalaam.
Send ur cv
Contact:
Whasup 0762619116
 
Mkuu, huu uzi/tangazo ni wa/la tano kuhusu kazi ileile.

Je, hujawahi kupata kabisa hao wafanyakzi? Au unawapata lakini mnashindwana hasa katika suala la maslahi.
 
Mimi ni mmiliki wa pharmacy iliyoko maeneo ya sinza Daresalaam. Nina nafasi 2 za kazi.
1:ADDO -wa dispensing
-awe na leseni toka Pharmacy council
2:pharmacist(degree holder)kwaajili ya usimamizi wa Pharmacy
-Awe ana leseni ya usimamizi toka Pharmacy council
-Awe ndani ya Daresalaam.
Send ur cv
Contact:
Whasup 0762619116
Pharmacy bado unataka level ya ADDO? Watoa dawa muhimu unataka kuwapa jumumu la kutoa controlled drugs?
 
Kama kijana ni jobless na anahiyo fani,aende akapige mzigo aongeza ujuzi na network
 
Pharmacy iliyopo maeneo ya Sinza inatafuta mfanyakazi ngazi ya Technician assistant au ADDO.

Kwa mwenye uhitaji:

Mawasiliano: call or whatsup +255 746 073 080
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom