Nafanyiwa sexual harassment na msichana wangu wa kazi

Sijamgusa. Shetani akizeeka anakuwa malaika
Acha undezi mkuu, wafikiri tumezaliwa jana?! Don't even try to mess our intelligence, kwanza nimepatwa na hasira, jinsi tu ulivyomuelezea huyo baharia ina maana tayari ulikuwa na mipango fulani, yaani kweli ulimuacha?! Kweli?!:mad::mad::mad:
 
Ntakushukuru. Nimejifunza, tamaa ikichukua mimba 🤰🤰 huzaa dhambi, dhambi IKISHA KOMAA, huzaa mauti.
Mauti ya mwili na roho
Mauti ya ndoa na mahusiano
Mauti ya heshima yangu kwenye jamii inayonizunguka
Mauti kwenye utendaji wangu na ufanisi wangu wa kila siku.
Huwezi kuperform vizuri kwenye chochote kama una matatizo ya kifamilia, hasa matatizo na mke
Uliyosema ni kweli nakuunga mkono. Kuna watu wanafikiria kufanya ngono ni raha lakini wanasahau kuwa baada ya hiyo ni regret na kujiona umechafuka na utachafua mwenzio. Mimi Buji ni Ke na nipo kwenye ndoa yangu miaka 27 ila nilikaa miaka 10 baada ya kumwacha mme wa kwanza nilipomfumania na mwanafunzi wangu live. Nilikuwa mja mzito ila nilitunza mimba yangu mwenyewe na mtoto akapata baba aliyemjali na kumlea kama mwanae. Sasa nina wajukuu.
 
Hakika wewe ni mwalimu, sio wa kitaaluma tu, ila wa maisha pia. Ndio maana Mungu akakupa tuzo ya mume Bora, mume wa kufanana na wewe
 
Hakika wewe ni mwalimu, sio wa kitaaluma tu, ila wa maisha pia. Ndio maana Mungu akakupa tuzo ya mume Bora, mume wa kufanana na wewe
Mme wangu tunapendana utafikiri tumeoana jana. Anawatunza wanangu sana na wote wamegraduate na Masters isipokua wa mwisho ndo bado anataka masters.
 
Huu uzi wa jamaa na ushauri wako vimenifikilisha sana mm nalea wanangu mwenyewe single dad na msichana tumezoweana sana na hajakaa sana kwangu na staki ngono na msichana wa kazi ,picha imenijia ya Bugi nimeogopa
Msichana wa kazi akikaa muda mrefu ni tatizo, anatakiwa akae nusu mwaka aondoke.
Sema sikuhizi wameadimika na ukimpata anakaa wiki anatoroka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Back
Top Bottom