nafanya leo interview TPB bank maombi yenu muhimu.

nipo njiani kuelekea kufanya aptitude test maombi yenu muhimu.... nitawataarifu hadi mwisho wa mchakato.
Yaan badala ujiandae wewe unaazana kutupa mchakato mara mniombee!. Kaaazi kweli kweli Siku hizi kila mtu anataka kuombewa tu hadi Mtanzania namba moja nae anataka tumuombee
 
Kila la kheri, pambana mkuu, kumbuka unaenda pambana na wenye nafasi hiyo tayari, unaenda kutana na paper la moto wenzio walikuwa nalo toka jana kwao
 
Mwenye enzi akusimamie. Lakini pia usisahau kuanza sentensi kwa herufi kubwa na baada ya kituo kikubwa.
 
Una ndugu hapo?. Maana hao ni ndugu kwa ndugu, kubebana tu. Ila MUNGU akusimamie.
 
Mungu akujalie paper zao mbona kawaida hao jamaa ishu tu figisufigisu nyingine hapo ndo tatizo,ila kila la kheri MUNGU akupe baraka mkuu.
 
Back
Top Bottom