Nafananishwa sana na watu hii inatokana na nini?

dumbi

JF-Expert Member
Jan 15, 2018
989
1,515
Habari zenu wakuu kuna hali huwa inanitokea ya kufananishwa na watu tofauti tofaut wengine nawafaham na nisio wafaham, nimeona nije nishee hapa pengine kuna jambo ila mi ndo silijui,

Nitaweka kumbukumbu kwa uchache ambazo hata mimi zilishangaza japo matukio ni mengi ya kufananishwa.

Kuna siku kuna jamaa nafahamiana nae kapita dukani kwangu akaniambia duh mara usharudi?nikamuuliza kutoka wapi?akaniambia ww si tumekutana kariakoo wwe ulikuwa unaenda mimi narudi na tulisalimiana ila juu kwa juu ndomana nashangaa nimekukuta hapa!siku hiyo mi sijatoka kwenda kokote nikamwambia lakin jamaa hakuamin, nikamuuliza nguo hizhizi nimevaa? akajibu hapana ila ni wewe ikabid nimwache tu.

Kuna kipindi nilikuwa nakula kaya (bangi)sasa siku hiyo nipo maskani nakula kuku moshi ghafla wakaingia watu watatu hatuwafaham, vijana wanawaita vidali au mbavu tukataka kukimbia tukijua askar jamaa wakatwambia msikimbie kuna mtu tunamtafuta amemkaba ndugu yetu.

jamaa wakaanza kutukagua mmoja baada ya mmoja ghafla alokabwa akanipoint mimi wakati najua michezo hiyo sina kabisa, moyo ulilipuka paa! jamaa wakaniambia simama juu nilivyosimama jamaa akasema dah sio huyu ila wanafanana sura yule alikuwa mrefu halafu mbavu huyu mfupi, Ndo ikawa pona yangu.
Nyingine nipo sehem nimesimama naongea na jamaa yangu nikaguswa bega kwa nyuma ikabidi nigeuke alikuwa mzee wa makamo nikamwamkia akanijibu kisha akaniuliza kazi yangu umemaliza?nikamuuliza kazi gani mbona sikufaham?akawa kama kaduwaa akiniangalia vizur kisha akajibu samahani nimekufananisha kuna kijana mmefanana sana.

Kuna siku kaja jamaa dukani kwangu akanisalimia john vp nikamwambia poa akauliza siku hiz umehamia dar? nikamwambia mi maisha yangu yote nipo hapa halafu mi sio john kwani vp ?akaniuliza kama nna undugu naye john wa Arusha nikamwambia hapana akasema basi jamaa yuko hivyohivyo.

kuna demu nae kashawah sema alikuwa na x wake anafanana sana na mimi jamaa wakawa wanasema amenikubali anataka kupigwa mkia lakin mi nilijua itakuwa kweli manake dem hakuwa na shobo zozote kusema labda kanipenda.

Juzi wamekuja wadada Ndio nikaona nishee na matukio yaliyopita hawa hawakuniambia kitu ila walioneshana kisha wakasema mmh! Wamefanana sema huyu mweupe sana tutamwambia aje amuone pacha wake.

Je kuna anaekutana na hali hii?manake kwa upande mwingine kama ni hatar naweza fananishwa na jambazi nikauwawa.
 
Bhangi effect!
 
Babu mimi nadhani dawa unazopiga hizo zinakutiaa wenge.
Nishaacha zamani sana lakin mpka leo kuna dogo watu wananiuliza kama ni mdogo wangu na bro wangu kashawahi kuniambia nafanana na huyo dogo,kuna siku nishawahi kulipwa pesa na mtu anaemdai ila nikajua huyu kanifananisha nikachukua, yule dogo alivyokuja nikampa nikamwelekeza mtu alivyo akamjua.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom