Naeza pata laptop mpya yenye core i3 kwa bei hii

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
990
800
Habarini wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyo sema je naweza pata core i3 laptop MPYA kwa laki 6
 
Ngoja niende store nikakuangalizie lakini mpya sidhani labda mpya ya mkoni(second hand).
 
Utanisaidia sana mkuu ntashukuri, au kama inashindikana unaeza uniambie the cheapest price
 
Wakuu nilitaka tu niwajulishe kuwa nimepata toshiba core i3 4gb ram 500gb memory kwa 654,000 mpya pale freedom computers. Pia kuna dell na samsung na acer zote core i3 na specs ni izo kwa bei hio hio. So inawezekana core i3 kwa laki 6.
 
thanks for feedback
 
Back
Top Bottom