Naepuka vipi magamba mikononi baada ya kutumia sabuni ya Unga?

Ukitaka mikono isichubuke unapoweka sabuni kwenye maji subiri kidogo mkuu hata kwa dakika 20-30 Kisha ndo uanze kufua acha kidogo sabuni ikae kwenye maji
 
Ukitaka mikono isichubuke unapoweka sabuni kwenye maji subiri kidogo mkuu hata kwa dakika 20-30 Kisha ndo uanze kufua acha kidogo sabuni ikae kwenye maji
Dah mkuu hyo njia naona haiko poa kwangu kabisa.

Mana kila nikitaka nifue nguo na kutumia sabuni kwa nguo basi nisubiri nusu saa manake ntafua siku nzima
 
Kama hali inaruhusu chkua mashine ya kufulia Nikura 8kg ni Tsh400k tu.
Inakusaidia kutohusisha ngozi yako ktk uchanganyaji wa sabuni.
 
Usitumie maji ya chumvi kufulia na sabuni ya unga, mchanganyiko wake haupatani na ngozi yako. Hata mimi inanitokea hiyo nikitumia ya chumvi na omo kufulia.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom