Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Nenda Somalia ukafurahie Uhuru!
Umeambiwa apo somalia?Nenda Somalia ukafurahie Uhuru!
Inawezekana kana maana ya live hujuiKwani tanzania hakuna bunge live? Au mpaka umuone lissu anavunja desk ls bunge kwenye zile drama za wapinzani ndio utakubalivni bunge live.
ni
Mzee kichefuchefu akikusikia bunge umeangalia live wakati kazuia lazima akutumbueMbona bunge la miezi hii tumeangalia live acheni zenu
Najua mkuu... kwani maana ya live si mubashara?Inawezekana kana maana ya live hujui