Naenda kufanyiwa operation ya bawasiri

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,254
2,000
Nilifanya, kuna mateso inabidi ukubaliane nayo tu, kubwa kuliko yote ni jinsi ya kupata choo wakati ukiwa unasubiria kidonda kupona, ukumbuke utakuwa unakula chakula na unatakiwa uende haja kubwa inapokuja, sasa hapo kumbuka kuwa inapita pale pale penye kidonda, utakumbuka maneno yangu...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom