Naenda Kongwa Kumbe Dhahabu Ya Kusini Ipo kule

Oldskul

Member
Jan 12, 2013
85
151
Wadau kwema

Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile.

Kumbe show inaendelea Dodoma hlf watu wamekausha muda huo watu tumekazana na lindi na mtwara dah....

Ngoja nifunge safar niende.. nikikuta na fursa nyingine ntawarudia stay tuned.....
kongwa_tuitakayo-20200911-0003.jpg
View attachment 1566682View attachment 1566681

Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
 
korosho inastawi vizuri kabisa Dom nzima sio kongwa tu rafiki yangu majid ana eka mbili za korosho hapo ndachi na hivi karibuni ataanza kula matunda
 
Nusu ya mikoa ya Tz korosho inastawi vizuri sio kusini tu, hats hapo ulipi inawezekana korosho inastawi.
M nipo kusini mkuu..ila usemavyo ni kweli..korosho zinastawi sana kwenye ardhi ya kichanga na hali ya joto kama ukanda wa pwani nakati.


#MaendeleoHayanaChama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom