Naenda Arusha

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,208
Wadau nahitaji kwenda Arusha week end hii nahitaji kueleweshwa basi zuri la kusafiri nalo lisilokuwa na usumbufu na pia Hotel nzuri ya kufikia yenye bei na kuanzia elfu 25.000 mpaka 30.000 kati kati ya mji.
 
wewe ni ke au me? na unatokea sehemu gani? kama unatoka dar panda basi lolote lenye namba d,
kama mbeya kula new force. kama Karatu panda lacrome. kama Mwanza panda naj.kama Tanga panda tahmeed.kama Dom panda shabiby.
hoteli fikia am Marne Yale zipo za bei hizo na mjini unatumia miguu.
kwa Maelezo zaidi njoo inbox.
 
Wadau nahitaji kwenda Arusha week end hii nahitaji kueleweshwa basi zuri la kusafiri nalo lisilokuwa na usumbufu na pia Hotel nzuri ya kufikia yenye bei na kuanzia elfu 25.000 mpaka 30.000 kati kati ya mji.
Karibu mabasi yote yanayoenda Arusha kutoka sehemu zote za nchi ni mazuri na hayana usumbufu ila hakuna hotel ya elfu 25000 ama 30000 Arusha japo kuna nyumba za wageni za hiyo bei kama Kutetere, monjes zote ama 6 to 8.
 
Basi zuri haswa la kutoka Dar kwenda Arusha ni KILIMANJARO EXPRESS. Nauli ni sh 33,000 tu kwa Daraja la kati na sh 36,000 kwa Daraja la Juu. Ni basi zuri lisilo na Usunbufu hata kidogo.
Apande Tahmeed Coach hatojutia safari yake, apande First Class nauli elfu 33,000/- Tu. Usafiri wa Uhakika alafu atuletee mrejesho.


Kilimanjaro Express ilikuwa zamani siyo sasa, kwa sasa ni Tahmeed pekee kwa route ya Kaskazini. Huyu jama hana mshindani na hajatokea
 
iko special thread kwaajili ya post yako
 

Attachments

  • IMG_20161201_145915_811.JPG
    IMG_20161201_145915_811.JPG
    28 KB · Views: 42
Hahahahahahaa, duh! Tukisema Klm siku hizi kaishiwa na magari ya uhakika tunabezwa. Huu sasa si ugonjwa wa moyo?
mi huwa najibu kwa vitendo, ukiachilia mbali saa saba usiku unaikuta klm iko mto wami imeshindwa kupanda mlima, atakaebisha naweka video kabisa maana tulishuka kuwacheki kulikoni
 
Karibu mji ni tuliv hautaki uzaramo hata kidogo

Kilimanjaro Express

Peace Hotel 45000 tsh Bed and Breakfast
 
Tahmeed wana ofisi wapi jamani kama sio kwenda pale ubungo na kudakwa na wapiga debe, nenda kilimanjaro hapo shekilango kapande luxury nauli sh 36,000.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom