Naelekea India nitawajuza hali ya Mwakyembe bila unafiki!

Status
Not open for further replies.
Jb mhuni! Anawadanganya wanajf kama dolindo! Kweli uliwapata watu. Majisifa tu anatafuta. Si ajabu akawa maeneo ya tandale kwa tumbo,badala ya kuwa na msafara india.
 
HALI YA WAGONJWA DR MWAKYEMBE, MWANDOSYA NA ZITTO -INDIA

JASON BOURNE
TEL:
ID :

Mtanisamehe kwa kuchelewa kuwapa ripoti za wagonjwa wetu waliopo India.
Hii ilitokana na mazingira ya hali ya juu ya usalama iliyowekwe juu ya wagonjwa hawa.
Ikanilazimu mpaka nifike mjini Perth Australia ndipo niwape kile nilicho kiona kwa wagonjwa wetu.

Zitto Kabwe
Hali yake tangu alipofika mpaka jana nilipomwacha ilikuwa ya kuridhisha kwa ujumla labda yatokee mabadiliko yoyote leo hii.

Madai ya kulishwa sumu na TISS:
Kulingana na vyanzo vyangu vya habari, taaluma na kipaji changu cha uchunguzi na uzuiaji wa matukio, ninasema nitakuja kulifanyia kazi nikirudi. Ila madaktari wa wanaweza kuwa na jibu ingawa hamtaelezwa ukweli watanzania wala ndugu wa mgojwa.

Hali ya Mwakyembe
Katika jamii inayoamini maombi kuwa ni sehemu ya uponyaji, basi yatupasa watanzania wenye mapenzi mema na Mh Mwakyembe tufanye hivyo tena haraka sana

Kwa mda wa dk20 nizokaa ndani ya chumba chake maalumu chenye vihami sumu, kwakweli nilitokwa na machozi.

Mh hali yake ni mbaya! Nadhani mtu mzima akisema hali ni maya bila shaka mnatambua.

Hali ya Mwandosya:
Mh Mwandosya sikuweza kumuona live hii ni kutokana na mahali alipolazwa kuwa mbali kidogo na hapo alipo Mwakyembe,
Taarifa nilizo zipatata kutoka kwa Daktari Virmandh Gaemr mmoja wa madaktari wanaomtibu Mwandosya ni kuwa hali yake haina tofauti sana na ya Mwakyembe.



Hayo ndiyo niliyoyaona kwa macho yangu!

Asanteni sana.
 
JB pole kwa majukumu na asante kwa updates nzuri japo zinatisha!!
 
JB kama mtu mzima nimekuelewa. Dakika namaliza kusoma taarifa yako juu ya Mwakyembe nimepatwa na simanzi naturally. Tunawaombea.... Asante kwa taarifa.
 
JB kama mtu mzima nimekuelewa. Dakika namaliza kusoma taarifa yako juu ya Mwakyembe nimepatwa na simanzi naturally. Tunawaombea.... Asante kwa taarifa.
basi atoe hizo siri alizonazo kabisa, maana mnatutisha tu
 
inaitwa "diversion" lol

Nafikiri unapenda uendelee kuwa msiri/ usijulikane utambulisho(identity) wako, kutokana na mambo ambayo unaandika ama kutupasha. Kama kuna watu ambao wamepewa kazi ya kutafuta utambulisho wako, mbona umewarahisishia kazi, maana watakuwa wamepunguza sample na kubakiza wale tu walioko kwenye msafara wa Zitto, then wataendelea na upembuzi mwingine wa kina na hatimaye itakuwa rahisi kukudaka.

Kama wewe ni mwanausalama, sikutegemea useme wazi kuwa upo kwenye msafara wa Zitto, vinginevyo umejisahau, au si mwanausalama, ama ni makusudi tu.

Anyway, keep us updated.

Thanks....
 
Status
Not open for further replies.
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom