Nadharia ya san siro na giuseppe meaza itaikoa ccm ?

SoNotorious

JF-Expert Member
Sep 11, 2011
2,422
859
Leo wanavaa nguo za kijani na kujiita CCM kesho wanavaa zambarau wanajiita ACT hii inaweza kuwa political competitive edge dhidi ya CHADEMA au ndo mambo ya mbwa mzee kujaribu kujifunza mbinu mpya za kupambana na adui ? Naomba tujadili hii nadharia ya SAN SIRO NA GIUSEPPE MEAZA kama inasaida CCM kuelekea october 2015 au wanacheza mduara kwa kasi na ACT kama alivyosema Albert Einstein kuwa mtu yule yule kuzunguka mti kwa kasi isiyo ya kawaida sio jambo zuri. Tafsiri ya kiingereza imekaa vizuri ya hiki alichokisema Einstein na ina maana pana zaidi mnaweza kuitafuta kwenye famous quotes of Albert Einstein.
 
Kwa vile ni Illuminati walio nyuma ya pazia, basi watazunguka kwa kasi muafaka aka "optimal speed" ili iwe jambo zuri.
 
everything is possible inawezekana kuna watu wanafikiria Tanzania bila CCM ya leo wapo Ndani ya CCM na wengine wanafikiria Tanzania bila CDM walikuwepo CDM wanataka kujaribu kucheza game of chance,kuna mgogoro wa wazi wa Uraisi ndani ya CCM kama sio strategy ya kushindana ya Wapinzani,ACT wanafanya kampeni zao dhidi ya CDM,ina maana hawana mpango na CCM(Ni Dhaifu Sana) na CDM (Imara sana) kama ACT ni wapinzani basi 2015 hawana mpango wa kufanya vizuri ila kudhoofisha waahindani wao wa sasa.
 
Mbona hujaifafanua hiyo nadharia kwa kirefu na kwa lugha rahisi ili tuihusianishe na CCM,ACT na CDM ili tuchangie?
 
Back
Top Bottom