Nadharia ya Mungu kakuwekea fungu fulani au hajakuwekea ondoa akilini mwako

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,028
Haso sana ili kupata rizik, Mungu hawez kukuletea fungu au rizik mlangoni, never sahau hilo fight day & night kila kitu kinakuwa ok.

Muombe Mungu akutolee kazi za giza zinazotaka kukurudisha nyuma, Sio kukuletea riziki mlangoni.
 
Mungu au imani yoyote ile inakupa confidence..., kufanikiwa ni kufuata kanuni husika za jambo unalolifanya, kutokukata tamaa pamoja na ku-cut corners (kama nyote mpo equal mkata kona atapata hususan kama ni material things), Ndio maana sometimes good guys finish last.... Ingawa emotionally good guys wana advantage sababu ukiwa na tamaa siku zote hauta ridhika (hence being in a rat race)
 
Risiki unapata kwa kutoka jasho baada ya kazi na kufanya kazi kunahitaji muda, hivyo vitu viwili muda na kazi ndo vinavyohitajika kutumiwa vizuri Ili vituletee riziki tatizo Sasa sijui ninini kilifanya watu watengenezewe mambo ya kupoteza muda na wawe wazembe na wavivu, imagine mtu ametengenezewa kushinda kanisani akiomba hela na riziki zake zishuke tuu bila yeye kufanya kazi badala muda mwingi kutumika kwenye kazi, muda Mwingi akakae baa akilewa, muda mwingi kukaa shule mpaka nguvu za ujana zikaisha, muda mwingi akakae kwenye TV hata siku nzima, muda mwingi kufanya vitu visivyoleta riziki na ikitokea kuna mashine za kulahishisha kazi Kama kufua nguo wanasema ni kutaka kuwaua, yaani kupoteza tu muda bila kazi ndo kinachopendwa Sasa sijui ni Nani alileta hizo akili mpaka kusabisha watu wasifanye ibada yao ya kazi mpaka wawaze mtu anaweza akakaa tu riziki ikamshukia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom