Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

Hahahahhha. Yaan imaginary events ndio iwekwe na kutumik dunian kote?? Is it logicall?????

Dunia kote wanafahamu saiz ni mwaka 2019 yaan WOTE WANAABUDU UKUU WA KUZALIWA KWA KING HIMSELF JESUS.. HATA SIMU ZILIZOCHINA ZINAONESHA LEO NI MWAKA 2019.....
Ni theoritical timeline of birth a mythical human being figure called Jesus Christ..

It is a theory that there existed this imginary figure head called Jesus Christ kwahiyo tu-adopt birth date yake kwenye timeline kama year zero.

Na hiyo ni kutokana na Gregorian dating..

Ukienda china wana yao.....

Ukienda kwa Mohamed SAW wana yao...

Ukienda India wana yao.....

Egypt wana yao......

Sasa wewe kwavile umezaliwa kwenye influence ya Western civilization wanaotumia Gregorian calenda dating unajitia una mamlaka yoooote ya time and calenda dating ya civilizations zote duniani??!!!

Mavi yenu na influence mliyorithi ya western civilization...

Time dating imegawanyika kwendana na civilizations mbalimbali duniani...

So shut up with your imaginary theories!
 
Bro planet x ndio nn???.. Unaongelea mungu gan????

Mana kuna MUNGU mmoja..

planet X ambayo ndio makazi ya hawa Homo Capensis mnaowaita Mungu hutumia muda wa miak
a 3600 kuzunguka jua. thanks Hii nadhani ndiyo sababu iliyopelekea vitabu vitakatifu kuandika hivyo. Na Kila baada ya hiyo miaka 3600 hichi mnachokiita mwisho wa dunia hutokea
 
Yaan imaginary events ndio iwekwe na kutumik dunian kote?? Is it logicall?????

Dunia kote wanafahamu saiz ni mwaka 2019 yaan WOTE WANAABUDU UKUU WA KUZALIWA KWA KING HIMSELF JESUS.. HATA SIMU ZILIZOCHINA ZINAONESHA LEO NI MWAKA 2019.....

Hapo nyuma kidogo kila jamii ilikua inatumia dating system yake...

Dunia ikakutana Switzerland,wkajenga chombo cha maritime wakakubaliana dunia yote watumie dating system moja.

Jamii hizi za Mashariki zinakaamua waache zao watumie hii iliyopendekezwa,kwa makubaliano!

Kama ilivyokua kwa SI-Units maana duniani kila jamii ilikua ina vipimo vyake vya urefu,uzito,pressure,etc..wakaamua wakutane dunia nzima tutumie mfumo mmoja!

Sio kwamba eti Gregorian dating ndio superior,nooooo....ilikua kwamba ni simple na ni rahisi wanadamu wengi duniani kutumia kirahisi..

Ya china ilikua ni very complex na very precise ambapo kwa akili mfu kama zako na zangu ni ngumu kutumia kwa usahihi...

Kwa kifupi Gregorian dating is a dumbed down version of dating...it is for dumb people like me and you!

Hakuna eti cha magic ya Yesu Kristo sijui mwana wa mungu ndio kaleta tarehe zote hizi,sijui nini na nini....Noooo

Yesu as an imaginary motherfucker has nothing to do with Dating system adopted duniani hapa...

Na for your information these other dating systems from other civilizations zinafanyakazi pia...

So shut up and get on with the program!

Hakuna dini hapo..dini peleka kanisani huko mkalambane matako
 
View attachment 1125684
Salute..
kuna msemo sijui tulifundishwa au tulisoma wenyewe kwenye vitabu vyetu vya dini (Bibble & Qu'ran) msemo huo unasema kua Miaka elfu moja duniani ni sawa na siku moja mbingu, kiukweli kwa uelewa wangu mdogo wa maswala ya Theologia na Physics nasema huu msemo ni uongo ina wezekana waliotufundisha au tulipousoma kwenye vitabu tuliutafsiri tofauti.
Kwanza kama ulisoma uziwangu wa Time Travel kiasi wadau waliweza kuelezea kadri wajuavyo effect ya Time kwenye Maisha/Uhai wa mwanadamu, nilivutiwa zaidi na mchngowa mkuu BASANORARE kwenye comment hii https://www.jamiiforums.com/threads...-kuwa-suluhisho-la-kifo.1585916/post-31526494 sikutaka nimjibu pale nikaona nianzishie mada hii kitu labda kila mtu atoa mawazo yake juu huu msemo/Andiko.
.......
Ref kutoka Qu'ran: Surat Hajj 47, allah anasema kuwa siku moja ya Allah ni sawa na miaka elfu moja "1,000".
Ref from Bible: Zaburi 90:4 Kwako miaka elfu moja ni kama siku moja tu, ni kama jana ambayo imekwisha kupita, kwako ni kama mkesha mmoja wa usiku
2Petro 3:8 Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja
Haya ndio maandiko ambayo yamefanya kuenea kwa msemo ambao mimi kwa muono wangu naona si kweli kwa jinsi watu wanavyo
yatafsiri, mimii naelewa hivi kuhusu haya maandiko and I hope theseare aint Blasphemy kwani the Almighty hapendi wasiotaka kuhoji...Let's go!

Kwanza kabisa Kiasili Mungu ana sifa kuu ambazo ni Omniscience (Ajuaye yote), Omnipotence (Mwenye uweza na nguvu zote) na Omnipresence (aliyoko kila mahalii).
tunaposema kua kwa Mungu/Mbinguni siku moja sawa na miaka 1000 ya duniani msemo huu unauvunja vipande vipande ile sifa ya Mungu ya kua Ana uwezo wa kila kitu na Hana mwanzo wala mwisho.... Kivipi???????????
duniani sababu kuu ambayo inatufanya twafariki ni kwasababu i)Dhambi ya asili (ii)ili kuweza kubalnce nature na kuruhusu existence ya viumbe vingine duniani (iii)time. Yes tunakufa kwakua kuna muda duniani ambao unatuhesabia siku zetu tunazoishi hapa dunia ..Time is the biggest threat to mankind ndio maana nilisema kwenye mada yangu ya time Travelling kua tukiweza kudhibiti muda basi tunaweza kudhibiti KIFO. Kwa mantiki hiyo nachelea kusema kwamba kama kwa Mungu kuna Muda basi Mungu ana mwanzoo, Mbinguni kuna vifo there is no eternal life at all, Yawezekana basi hakuna Mungu mmoja maana watakua wanapita/wanafariki (God Forgive I feel like I'm going too far).
Kwa mujibu Fundamental physical quantity, the SI-Unit of Time is Second and other si-unit are year,day,month,decade,millisecond,century etc...Hivyo basi kama mbinguni Muda basi Mungu atakua ana muda maalumu aliotokea(ana mwanzo) maana ili muda uweze kuhesabiwa lazima kuwe na jua linalo zunguka, haingii akilini kwamba kila ikifika miaka elfu ya duniani basi Mungu hua analala kwakua jua limezama usiku umeingia haiwezekani.

Ninavyofahamu Mimi kwa Mungu hakuna muda (Timeless) hakuna future wala past kila muda kwake ni present, Mungu hawzi eti kesho nitafanya hivi na hivi big Nope ndio maana malaika hawazeeki wala hawafi maana hakuna Muda waliowekewa unaohesabu miaka yaoo labda technically aliyewaumba anajua umri wao. Sie wandamu tumewekewa muda ili tuweze kupanga malengo yetu, ili tuweze kuishi umri fulani tulipangiwa na Muunmba,,ili siku moja tufe that's all..
Kwa hiyo basi kwa kusema hivo yawezekana msemo huu inawezekana kutokna na ambiguity ya kiswahili chetu wakati unatafsriwa kutaka version ya lugha zingine sie tuliuelewa vibaya. au kwa vyovyote vile ulipokelewa kimakosa kama vitabu vinne vya wakorintho ilivyokua..

Mwisho kabisa niseme kua huu ni muono wangu na sio pie kwamba kila mtu alzima aelewe hivyo..Lakini naamini kwa Mungu ni Timeless
Anybody Concur with me......???????????
~Da'Vinci

Nachangia hii mada kwa mtindo huu,

Hii ni mada nzuri miongoni mwa mada nzuri.Kabla sijaelezea au kujibu kilichomo kwenye mada yako. Napenda ujiulize maswali haya :

1. Muda ni nini ?
2. Je muda ni kitu fulani kilichoumbwa yaani kwa lugha nyepesi "Je muda ni KIUMBE?"
3. Je kuna sehemu yoyote ambayo hakuna muda ?
4. Je muda unaweza kusimama ?

Nimekuuliza mswali haya sababu mada yako inahusu MUDA.

Nakuja kuendelea ....
 
HAHA NASHUKURU
Hapo nyuma kidogo kila jamii ilikua inatumia dating system yake...

Dunia ikakutana Switzerland,wkajenga chombo cha maritime wakakubaliana dunia yote watumie dating system moja.

Jamii hizi za Mashariki zinakaamua waache zao watumie hii iliyopendekezwa,kwa makubaliano!

Kama ilivyokua kwa SI-Units maana duniani kila jamii ilikua ina vipimo vyake vya urefu,uzito,pressure,etc..wakaamua wakutane dunia nzima tutumie mfumo mmoja!

Sio kwamba eti Gregorian dating ndio superior,nooooo....ilikua kwamba ni simple na ni rahisi wanadamu wengi duniani kutumia kirahisi..

Ya china ilikua ni very complex na very precise ambapo kwa akili mfu kama zako na zangu ni ngumu kutumia kwa usahihi...

Kwa kifupi Gregorian dating is a dumbed down version of dating...it is for dumb people like me and you!

Hakuna eti cha magic ya Yesu Kristo sijui mwana wa mungu ndio kaleta tarehe zote hizi,sijui nini na nini....Noooo

Yesu as an imaginary motherfucker has nothing to do with Dating system adopted duniani hapa...

Na for your information these other dating systems from other civilizations zinafanyakazi pia...

So shut up and get on with the program!

Hakuna dini hapo..dini peleka kanisani huko mkalambane matako
HAHAHHA NAFURAHI SANA KUONA NYIE WENYEWE MNAKUBALIANA NA HII EVENT MUHIMU .....ILIYOTOKEA MIAKA 2000ILIYOPITA ASANTENI SANA KWA HILO...

SASA TUJE KWANINI MNAWEKA BC NA AD KWENYE MIAKA ..ANGALI UNAKATAA SIO KWAAJILI YA YESU LAKIN PIA INAONEKANA NI SIKU YA BIRTHADY YA KINGHIMSELF...

HUONI KWAMBA MNAKUBALIANA NA BIBLE ??? MAANA BIBLE NDIO INASEMA HIVO ..JE HUONI KWAMBA PAKA HAPO ULIMWENGU MZIMA UNAKUBALI BIBLE ISEMAVYO KWAMBA 2000YEARS AD THE THE KING JESUS WAS BORN.....

KUMBUKA YESU HAKULETA DINI ..LAKIN ALISEMA KWENYE BIBLE KUWA YEYE NDIO KWEL NJIA NA UZIMA...NA HUKUNA AENDAYE KWA BABA ISIPOKUA YEYE..

JE NIKUPE USHAHID MWINGINE WA KIBLIBLIA KWA MAMBO YATOKEAYO SASA???
 
HAHA NASHUKURU HAHAHHA NAFURAHI SANA KUONA NYIE WENYEWE MNAKUBALIANA NA HII EVENT MUHIMU .....ILIYOTOKEA MIAKA 2000ILIYOPITA ASANTENI SANA KWA HILO...

SASA TUJE KWANINI MNAWEKA BC NA AD KWENYE MIAKA ..ANGALI UNAKATAA SIO KWAAJILI YA YESU LAKIN PIA INAONEKANA NI SIKU YA BIRTHADY YA KINGHIMSELF...

HUONI KWAMBA MNAKUBALIANA NA BIBLE ??? MAANA BIBLE NDIO INASEMA HIVO ..JE HUONI KWAMBA PAKA HAPO ULIMWENGU MZIMA UNAKUBALI BIBLE ISEMAVYO KWAMBA 2000YEARS AD THE THE KING JESUS WAS BORN.....

KUMBUKA YESU HAKULETA DINI ..LAKIN ALISEMA KWENYE BIBLE KUWA YEYE NDIO KWEL NJIA NA UZIMA...NA HUKUNA AENDAYE KWA BABA ISIPOKUA YEYE..

JE NIKUPE USHAHID MWINGINE WA KIBLIBLIA KWA MAMBO YATOKEAYO SASA???
Yesu ni mavi gani wewe?

Ni mtu wa kufikirika!

Unamuamini wewe.....sisi wengine hatumtambui!

Tunajua ni imaginary person..hakuwepo kiukweli!

Sijui hapo huelewi nini?
 
Ngoja kwanza

Kwa nini sasa sir God anataka tufe

Hafu pia kwani kati yetu sisi na malaika nani ni bora kwake ?

Kwa nn na sisi asingetufanya kama malaika ?!
Umeuliza kuhusu kifo,na kwanini tuna kufa,hii ni hatua ambayo mwanadamu anaipitia katika ukamilifu wake,kama ilivyo hatua ya kuanza kama pande la nyama,kisha pande la damu,kisha ukawa pande la nyama,kisha pande la nyama likavishwa mifupa kisha ukapuliziwa roho na ukaishi tumboni kwa mama yako,ukazaliwa na sasa unaishi,utakufa na utaishi kaburini kisha utafufuliwa na hukumu itapita. Hizi ni hatua ambazo anapitia binadamu. Kwahiyo kifo sio adhabu wala si jambo bay na tunakufa ili tufikie lengo la kuumbwa kwetu na kulipwa kile tulicho kichuma.

Mbora kwake ni yule mwenye kumcha Yeye,yaani mwenye kumtii.
 
SASA BRO..UNAPOSEMA NI MTU WA KUFIKIRIKA ALITUMIKA KU FORMATT WORLD TIMING SYSTEM...HUONI KWAMBA UNACHOONGEA HAKINA LOGIC..
Yesu ni mavi gani wewe?

Ni mtu wa kufikirika!

Unamuamini wewe.....sisi wengine hatumtambui!

Tunajua ni imaginary person..hakuwepo kiukweli!

Sijui hapo huelewi nini?
 
Huyo mdudu huzaliwa na kukua ndani ya masaa 5 hukomaa na kuzeeka ndani ya masaa 10 muda huohuo keshafanya yoote ya Duniani na masaa kadhaa mbele hudondoka sababu ya uzee hivyo hupoteza uwezo wa kupaa na kufa.Ndani ya masaa 18 ndo mwisho wake, ni wachache wanaotoboa masaa 20 au 24.
Dragonfly-Image-Vintage-Drawing-GraphicsFairy-1.jpeg
 
Namuunga mkono mtoa mada. Kwa Mungu hakuna muda ndio mana imeandikwa kwamba yeye anajua ulipotoka na unapokwenda kwasababu kila kitu kinatokea papo kwa hapo in real-time.
Kwahiyo miaka sijui elf hata mimi ninaridhia kuwa ni invalid kwasababu inamaanisha kwamba hata Mungu na mbingu siku moja vitakuwa na mwisho na Mungu alikuwa na mwanzo.
Nahisi hapo zamani waliandika miaka elfu moja kuelezea kwamba ni muda mrefu saanaa (incomprehensible).
Time ni sisi tu 0 civilization beings inayotubana na kutufunga.

Kwanini unapinga jambp ambalo huna uhakika nalo ?
 
Issack Newton ana ndugu wa damu wapo mpaka leo na ukipima DNA yake kutoka kwenye remains zake na ndugu zake zina match!

Wewe bado ni mwehu!

Newton hadi nyumba yake na kitanda chake n vitabu vyake vipo havijguswa!

Ukichukua finger prints zake zina match!

Siamini chochote wewe...wewe ndie unaamini dini na mungu....siamini yeyote hapo!

Yaani kwangu imani ni zero,sina!
Kwani Imani ni nini ? Isiwe unapinga jambo ambalo hulijui halafu ajabu ukawa unalitenda.
 
SASA BRO..UNAPOSEMA NI MTU WA KUFIKIRIKA ALITUMIKA KU FORMATT WORLD TIMING SYSTEM...HUONI KWAMBA UNACHOONGEA HAKINA LOGIC..
Kuna aina ya watu hupaswi kufanya nao mjadala ndugu. Mapepo yanaishi ndani ya watu kuyakabili ni kutumia mamlaka tu!
Asiyestahili heshima hapaswi kupewa heshima!
.
Warumi 13
7 Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.
 
Nafikir unapata tabu hujuwi maana ya muda na akili yako imeganda ktk usiku na mchana ndio muda, na huelewi hata hapa duniani kunasehemu kama za north pole wapo watu hawajui usiku nini, sasa utsema aje hawana muda,?
Halafu neno kufa pia hujui maana yake, hata viumbe wa mbuguni siku yao ikifika watakufa, kila nafsi itaonja umauti, nafsi zilizopo mbinguni na aridhini, sijui kama ulikuwa unalielewa hilo.
....hakuna nafsi iliyoko mbinguni...mbinguni ni roho tu...roho Haifi....nafsi inakufa...na...nafsi ni hapa duniani tu.Hivyo kiumbe wa Mungu mbinguni hafi.
 
Hivi una kichaa?

Wewe tangible maana yake nini?

Ni vitu ambavyo mtu unaweza ku-prove!

Wewe unadhani tangible ni vitu unavyoona kwa "macho" tu halafu unashindwa kujua macho ni mlango mmojawapo wa fahamu na ipo 7 na zaidi!

Upepo ni physical quantity na unapimika...ki-primitive mwili wako unaweza hisi upepo kupitia mlango wa ngozi...

Uzingizi ni chemical reactions,una chmical formula na unapimika sababu ni physical quantity..

Napoteza muda na wewe..chat na mtu mwingine ambae ni kilaza mtaendana vizuri.
Unajiona msomi kumbe pumba tu zimejaa kichwani
 
Back
Top Bottom